mi situmii

mi situmii

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
824
Katika basi moja lililo kua likisafiri katika siti moja ya basi walikua wamekaa shehe na padre wakasalimiana wakapiga stori had wakafaamiana katika kituo kimoja njian padre akanunua kitimoto akamkalibisha shehe "karibu tule bwana shehe"shehe akjibu hio halamu mi huwa situmii padre akaanza kula akamaliza baada ya kusafiri mda mrefu wakawa wamefika wanaposhuka kwenye gari shehe alikuja kupokelewa na mke wake shehe akamwambia padre kwaheri bwana huyu ni shemeji kaja kunipokea padre msalimie shemeji padre akajibu "mi huyo ni halamu huwa situmii" kwaheri
 
Back
Top Bottom