T The Great Rambo New Member Joined Apr 20, 2011 Posts 2 Reaction score 0 May 11, 2011 #1 Hivi hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu huwa wanazingatia vigezo vya wanaotakiwa kupata loan (mkopo) au vipi? Mbona failures wengi tu wana mkopo wakati wenye two zao wamechakachuliwa! Mi nakosa wa kumlaumu kabisa,ni Bodi au Serikali?
Hivi hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu huwa wanazingatia vigezo vya wanaotakiwa kupata loan (mkopo) au vipi? Mbona failures wengi tu wana mkopo wakati wenye two zao wamechakachuliwa! Mi nakosa wa kumlaumu kabisa,ni Bodi au Serikali?
R Rushdie jr Member Joined May 14, 2011 Posts 41 Reaction score 3 May 14, 2011 #2 Unajua hua wanatoa mkopo kwa wale wasojiweza sasa kama m2 kapata chuo na 3 yake wasimpe mkopo?