Mi siwaelewi kabisa hawa HESLB

Mi siwaelewi kabisa hawa HESLB

The Great Rambo

New Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Hivi hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu huwa wanazingatia vigezo vya wanaotakiwa kupata loan (mkopo) au vipi? Mbona failures wengi tu wana mkopo wakati wenye two zao wamechakachuliwa! Mi nakosa wa kumlaumu kabisa,ni Bodi au Serikali?
 
Unajua hua wanatoa mkopo kwa wale wasojiweza sasa kama m2 kapata chuo na 3 yake wasimpe mkopo?
 
Back
Top Bottom