Mi wa Nkoani nakuja Dar nielekezeni mambo muhimu ya hapo mjini

Mi wa Nkoani nakuja Dar nielekezeni mambo muhimu ya hapo mjini

Kuwa makini sana na pia ogopa vya watu sana wanyooshaji wa marinda wamebuni njia mpya ya kuwarubuni wageni kwani watu wa mikoani wanapenda vya bure sana.
 
Una shilingi ngapi mfukoni, sio mnakuja kuleta shida zenu huku
 
Kwenye MWENDOKASI, usije ukapanda na Mnyama wa aina yoyote! So Mbuzi wala Mbwa! Hatutaki wenyewe! Na mizigo yk Mwisho 20Kg! Usije na loba lako mihogo 38 Kg! Hatutaki! Usisahau, Mjini mademu wote wazuri na wote wana watu wao!
 
Njoo na akili tabia utazikuta uku uku alaf marufuku kushangaa hovyo
 
Mkuu nimefika na nina wenyeji wangu wanafanya biashara hapo

Kama nimekukwaza tusamehane mkuu maana najua mbagala ndio mwanzo wa mji kuchangamka
Kama kweli sasa angalia msg yako ya mwanzo hujanikosea Ila nilitala kujua kama Mbagala niijuayo ndio unayoisema [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Back
Top Bottom