Mi wa Nkoani nakuja Dar nielekezeni mambo muhimu ya hapo mjini

Mi wa Nkoani nakuja Dar nielekezeni mambo muhimu ya hapo mjini

Chunga usije ukaolewa maana huku pwani sie hatuchagui
 
Kama mada inavyojieleza

Nipo njiani kuja mjini Daslama kutokea huku nkoani

Masaa machache ntakua nishaingia mjini hapo

Nina muda sana sijakanyaga huo mji so najua kuna mabadiliko mengi Sana ya kimazingira,naombeni mnifahamishe mambo muhimu pindi ninapowasili mjini hapo.

Asanteni
KUNA MWENDOKASI.. ukitaka kuvuka UVUE VIATU kwanza
 
Back
Top Bottom