Mia Khalifa afunguka juu ya mapambano katika tasnia ya ponografia: Familia yangu ilinikataa walipogundua

Status
Not open for further replies.

Wakuu naona mumeniacha, hiyo dark web ndio nini? naombeni munieleweshe inaonekanwa ni mambo matamu sana
 

Wengine tunashinda YouTube mkuu
 
Wakuu naona mumeniacha, hiyo dark web ndio nini? naombeni munieleweshe inaonekanwa ni mambo matamu sana
Dark web ni part ya internet..
Yaani internet ina part 3.. surface web ambayo ndio hii tunatumia wote kama Jf , twitter , google n.j kuna deep web ambayo watumiaji wa kawaida hatuwezi kui access kama huna credentials hii kwa mfano ni emails za watu wengine , PM za watu n.k
Sasa kuna part ya 3 ambayo ndio Dark web hii ni part ya internet iliyojichimbia zaidi ambayo kule kuna kila aina ya takataka . Inasemekana internet tunayotumia ni only 4% na 96% ndio iko huko.

Ukiwa kwenye dark web unaweza kupata kuanzia classified documents , vitabu ambavyo huwezi pata library za kawaida., unaweza kukuta porn za kila aina kuanzia za wanyama hadi za watoto wadogo ambazo ni illegal..

Kwahio dark werb kuna vitu ambavyo ni legal na illegal.... kama unataka knowledge zaidi unaweza kusearch kuna uzi humu unaelezea mambo haya.
 
Asante kwa kutuelewesha
 
Kwa hiyo mkuu tunaweza vipi kuzama huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu tunaweza vipi kuzama huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzama huko kuna ka process kidogo..
Kwanza hutumii hizi browse za kawaida.. unadownload onion browser ambayo iko protected. Sababu lengo la kuanzisha dark web ni usalama. Kwahio hio browser ya onion haiwezi kutoa location yako. Pia unashauriwa kama unatumia simu au pc uzibe camera na sole tape maana huko kuna wadukuzi walioshindikana.

Pia kama ni simi au pc isiwe na vitu private kama picha au important documents maana wadukuzi wanaweza kukutumia virus information zako zikatekwa nyara..

Sasa ukishapakua onion browser unaweza ingia Google ukasearch link ya kukupeleka kwenye website unayotaka. Maana kule website haziko organized , hadi uwe na link ndio unazama kwenye website..

Muhimu kuzingatia usalama wako maana kule ni hatari unaweza kutoka simu yako haifanyi kazi ma hacker wamekuharibu
 
Nilishawah kuingia huko na mshkaji wangu kuna vitu vya ajabu huko wanauza..kama una moyo mwepesi au huna elimu na mambo ya network usiingie kuna mambo ya ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethical muda bado yule acha ajiachie au kama akishaanza kuchuja unamzalisha tu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…