Mia tatu kukosa mikopo HESLB

Joined
Jun 13, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Waombaji wa mikopo 324 inawezekana kukosa mikopo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo walioambiwa wapeleka nyaraka muhimu ambazo awakuambatanisha awali hawakufanya hivyo sababu nyingine ni ufinyu mdogo wa bajeti.

Source: KUTOKA JIKONI
 
Jamani hizi habari tumezichoka. taarifianeni huko kwenye facebook au sms.
 
Acheni ubishi si mkasome kwenye vyombo vya habari kama,Nipashe,The citizen n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…