Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ule umeme ulikatika Tanzania nzima. Mimi niliwasha redio nikawa naskiliza kupitia Ulimwengu wa soka, BBC idhaa ya Kiswahili.nnachokumbuka siku hiyo Lampard anachomoa na umeme umekatika hapo hapo kesho yake nasikia United amebeba ndoo huku Van Der Sar akiwa shujaa
Kwanini unaiita fainali mbovu?Katika Fainali mbovu nilowahi shuhudia
Kwanini unaiita fainali mbovu?
Huku kwetu zanzibar tukaishi miezi 3 bila ya umemeUle umeme ulikatika Tanzania nzima. Mimi niliwasha redio nikawa naskiliza kupitia Ulimwengu wa soka, BBC idhaa ya Kiswahili.