Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Miaka ya mwanzo walikuwa hawafiki hata 1b kwa mwezi. Magari yalikuwa machache na Ferry palikuwa vizuri wengi wanaotoka Geza,Mjinwema etc walikuwa wanapita Ferry. Miaka ya karibuni magari yameongezeka na magari ya Kigamboni asilimia 95% yanatumia daraja.Kwa hiyo kwa mwaka walikuwa wanakusanya Bilioni 15 na kwa mwezi ni Bilioni 1.25. Bas sawa