Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

ijia keki basi kwa kutimiza miaka 10
 
Inadaiwa enzi hizo kama Wazee wa Sauti ya Umeme Field Marshal E.S alitaka kutapeli Dola 300 za watoto wa masikini kuikabili hali ngumu aliyokuwa anapitia huko ughaibuni baada ya watu kumstukia akasalimu amri. Bado naitafuta huo uzi...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ebu tafuta huo uzi tuwekee link
 
Iyo namba 7 ndo kali, kipindi hicho hakukua na great thinkers au pengine walikua wachache

Wee enzi hizo na kabla ya hapo deal ilikuwa kwenda Ulaya na Marekani tena kwa kuzamia. Deal la mentali. Nakumbuma Sugu alikuwa anaitwa 2-Proud. So mambo yote ni kwenda hasa marekani acha kabisa.
 
Inadaiwa enzi hizo kama Wazee wa Sauti ya Umeme Field Marshal E.S alitaka kutapeli Dola 300 za watoto wa masikini kuikabili hali ngumu aliyokuwa anapitia huko ughaibuni baada ya watu kumstukia akasalimu amri. Bado naitafuta huo uzi...
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23] le baharia alikuwa anatafuta nauli ya kurudi bongo aje awe kuhadi mpambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…