Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Baadhi ya ninayokumbuka na mambo mazuri toka hapa
1. Email toka kwa nisiyemfahamu kutaka nijiunge Jambo Forum mwaka 2006
2. Enzi ambapo Invisible alikuwa maarufu sana
3. Nakumbuka habari nyeti mno za ndani toka serikalini ulikuwa unazipata za moto moto toka hapa
4. We dare to speak openly
5. Issues za ufisadi zilianzia hapa
6. Akina Dr. Slaa na wanasiasa wengine machachari walikuwa active hapa
7. Siwezi sahau FieldMarshal (Sauti ya umeme) alivyo ingiza mjini watu hapa anataka awapeleke ulaya na amerika maana ana connection kule. Watu wengi wakajitokeza. Nadhani with time kumbe ndo Lemutuz mwenyewe
8. Nakumbuka mengi sana ingawa mm si mwandikaji ni msomaji zaidi, nimeelimishwa sana na JF
9. Kuna kipindi tulichangia michango ya hela kuifanya JF iwe live na kununua space sijui saver huko nchi za mbali
10. Nakumbuka kutiwa mbaroni kwa Max the founder watu wakaanza tafuta habari mpaka akaachiwa
11. Ziko mambo mengi sana nimepata hapa......
ijia keki basi kwa kutimiza miaka 10
 
Inadaiwa enzi hizo kama Wazee wa Sauti ya Umeme Field Marshal E.S alitaka kutapeli Dola 300 za watoto wa masikini kuikabili hali ngumu aliyokuwa anapitia huko ughaibuni baada ya watu kumstukia akasalimu amri. Bado naitafuta huo uzi...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ebu tafuta huo uzi tuwekee link
 
Iyo namba 7 ndo kali, kipindi hicho hakukua na great thinkers au pengine walikua wachache

Wee enzi hizo na kabla ya hapo deal ilikuwa kwenda Ulaya na Marekani tena kwa kuzamia. Deal la mentali. Nakumbuma Sugu alikuwa anaitwa 2-Proud. So mambo yote ni kwenda hasa marekani acha kabisa.
 
Inadaiwa enzi hizo kama Wazee wa Sauti ya Umeme Field Marshal E.S alitaka kutapeli Dola 300 za watoto wa masikini kuikabili hali ngumu aliyokuwa anapitia huko ughaibuni baada ya watu kumstukia akasalimu amri. Bado naitafuta huo uzi...
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23] le baharia alikuwa anatafuta nauli ya kurudi bongo aje awe kuhadi mpambe
 
Back
Top Bottom