Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Wee enzi hizo na kabla ya hapo deal ilikuwa kwenda Ulaya na Marekani tena kwa kuzamia. Deal la mentali. Nakumbuma Sugu alikuwa anaitwa 2-Proud. So mambo yote ni kwenda hasa marekani acha kabisa.
Ahahaa kumbe nyani ngabu alipatia visa jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…