Ahahhh le kokobanga alitaka kupiga watu dollar 300
Dada mange hide my Id
Kokobanga alitaka kuwaibia Wana Jf usd 300
Nilikua member mtukuka wa uturn asee kipindi kileKuna siku huyo Dada wa Taifa alikorogana na JF hapakutosha. Ikabidi JF Bosi asarende aisee....The only person on earth ninaye mjua ambapo JF ilisurrender! Acha kabisa mambo ya Dada wa Taifa enzi hizo ana kitu yake ilikuwa inaitwa "U-turn".
Kuliuaga na maubuyu exclusive kule. Sijui kwanini hairudishiNilikua member mtukuka wa uturn asee kipindi kile
Hata hivyo naona kumepitwa na wakati kila kitu instaKuliuaga na maubuyu exclusive kule. Sijui kwanini hairudishi
Sasa kuwa member na kuunganishwa na vibabu vinahusikaje na wala alikua haunganishi alikuwa anatoa majina ya sites za kupata wazunguDah hata wewe. maana nilisikia alikuwa ana unganisha watu na "vibabu" vya kidhungu
Ile michambo ilikua inanoga sana. Kuna siku aliweka list ya maadui zake na sababu. Pale ndo alinichosha dada wa taifaHata hivyo naona kumepitwa na wakati kila kitu insta
Da mange nampenda tu mimiIle michambo ilikua inanoga sana. Kuna siku aliweka list ya maadui zake na sababu. Pale ndo alinichosha dada wa taifa
Kuna nati moja imelegea kichwani lakini. Ana akili ya peke yake. Uandishi wakee ndo unanikoshagaDa mange nampenda tu mimi
Jozee naona haupo hapo kwenye list ya wakongweSawa hongera mkuu
maeneo ya kibitiKwa hyo keki itakatwa wap ili nije na mishumaa!!?!
[emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Pambana na hali yako hapa..
Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!
Nipo hapa Nyasaka, nipande daladala ipi nifike hapo Kibiti?maeneo ya kibiti
Chezea ulaya wewe, hata sasa ukiamua wewe kujifanya wakala utawezaIyo namba 7 ndo kali, kipindi hicho hakukua na great thinkers au pengine walikua wachache
sijaona kama anahtaji msaada lakini!Kwaiyo unataka tukusaidie nini?