Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Dada mange hide my Id

Kokobanga alitaka kuwaibia Wana Jf usd 300

Kuna siku huyo Dada wa Taifa alikorogana na JF hapakutosha. Ikabidi JF Bosi asarende aisee....The only person on earth ninaye mjua ambapo JF ilisurrender! Acha kabisa mambo ya Dada wa Taifa enzi hizo ana kitu yake ilikuwa inaitwa "U-turn".
 
Nilikua member mtukuka wa uturn asee kipindi kile
 
Ww jamaa kwel msomaj yaan idadi ya post zako haiendani na umri wako

Ni kweli kabisa na haipiti hata siku moja sijaingia JF. Mm ni msomaji zaidi nina average ya post 20 kwa mwaka! hahaaaa... kila mtu ana kipaji chake bwana.
 
Dah hata wewe. maana nilisikia alikuwa ana unganisha watu na "vibabu" vya kidhungu
Sasa kuwa member na kuunganishwa na vibabu vinahusikaje na wala alikua haunganishi alikuwa anatoa majina ya sites za kupata wazungu
 
Back
Top Bottom