Ndio maana nilisema "Kwa kipindi kinachoelekea kufikisha miaka 10 humu nimefahamiana na watu wengi, wazuri na wengine wa "hovyo hovyo"
Hahahahahahahahahaaaaaaaa hapo wa hovyo hovyo ndo pamenifurahishanimefahamiana na watu wengi, wazuri na wengine wa "hovyo hovyo"
Hongera sana..msamehe hakujui anabahatisha au anataka sifa.. HAKUJUI KABISAsipendi uchokozi ndugu yangu! nakusihi lakini. kama unapenda tuheshimiane kama hupendi basi tuendelee kuchimbana chimbana. una akili zako timamu unaweza kusikiliza upuuzi wa Jordi Poli. enewei nakuheshimu naomba tuendelee kuheshimiana Mondray.
Wewe mgeni ndio maana hujui Mimi nipo toka 1990 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hongera sana mkuu, hakika wewe ni muhenga. Sikujua kama jamiiforum mwanzo iliitwa jamboforum!
Oh kumbe asante mkuuBaada ya kuingia kwa mtandao wa wasapu na kujuana sana watu wengi wamebadili ID zao mkuu so usishangae
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] 1990 hata sikuwepo dunia hii!! Hivi hii jf imeanzishwa mwaka gani?Wewe mgeni ndio maana hujui Mimi nipo toka 1990 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bila shaka 2006 kipindi hicho inaitwa Jamboforum[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] 1990 hata sikuwepo dunia hii!! Hivi hii jf imeanzishwa mwaka gani?
Wakat wa jambo forum ilikuwa shangwe sana humu.Siku zinakwenda hazigandi.
Naona kama vile ni juzi juzi 1/8/2007 nilipojiunga na Mtandao wa JamboForums ambao kwa sasa ni Jamiiforums.
Shukrani za pekee zimuendee Nova Makunga ndie aliyenihamasisha kujiunga na www.jamboforums.com.
Kwa kipindi kinachoelekea kufikisha miaka 10 humu nimefahamiana na watu wengi, wazuri na wengine wa "hovyo hovyo"
Katika mtando huu www.jamiiforums.com nimeona wana uwezo wa kufanya mambo mengi, pia kuna mapungufu mbalimbali, wana fursa mbalimbali na hata matishio mbalimbali.
Mungu ibariki Jf, Mungu wabariki members wake wenye akili timamu, Mungu mbariki mwanzilishi wa JF.
JF sitoki ng'oooo
Nauliza tuUchokozi.
hatimae umetmiza miaka 10. Pongezi sana NAHUJASiku zinakwenda hazigandi.