Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

Sikujua kama una miaka 10 humu. Hongera zako. Hapo kwenye rangi lol!

Siku zinakwenda hazigandi.

Naona kama vile ni juzi juzi 1/8/2007 nilipojiunga na Mtandao wa JamboForums ambao kwa sasa ni Jamiiforums.

Shukrani za pekee zimuendee Nova Makunga ndie aliyenihamasisha kujiunga na www.jamboforums.com.

Kwa kipindi kinachoelekea kufikisha miaka 10 humu nimefahamiana na watu wengi, wazuri na wengine wa "hovyo hovyo"

Katika mtando huu www.jamiiforums.com nimeona wana uwezo wa kufanya mambo mengi, pia kuna mapungufu mbalimbali, wana fursa mbalimbali na hata matishio mbalimbali.

Mungu ibariki Jf, Mungu wabariki members wake wenye akili timamu, Mungu mbariki mwanzilishi wa JF.

JF sitoki ng'oooo
 
Hongera Sana Mkuu..
 
Back
Top Bottom