Miaka 10 ndani ya JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Juzi kati baba ako alipita job woiiiii nilimkwepa akahudumiwa na mtu mwingine story ndefu nitakutumia vn WhatsApp kama nakuona utakavyocheka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile siku nilicheka mnoo!! Naomba mwaka huu yasijirudie kabisaa jamani
 
Hongera.
Nitakutafuta unipe connection za biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika miaka hii 10 sijawahi kupigwa ban na haina maana ni mtakatifu basi tu inatokea.

Kiukweli nilijiunga 2006 au 7 enzi za Jambo Chat kama sijakosea, baadae mhusika mkuu akanishawishi nijiunge forum kwani kuna mijadala mizuri.

Hongera mkuu...

Ile kitambo wengi wetu tulisahau password, vile Jambo Forums sehemu kubwa mijadala ilikuwa siasa kwa kiasi kikubwa...

Unajipata mtu ulikuwa unaingia tu kama guest kusikiliza miziki haswa zilipendwa (kwa ile embedded online player, baadaye ilikuja tolewa)..
 
Asante, na wewe mwezi ujao unagonga one decade! Nimekumbuka hio miziki. Mijadala ilikuwa mizito unachungulia tu kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…