Miaka 10 ndani ya JF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nitakupa zawadi ya bucket ya heinekenn

Nimecheka sana kibao kimegeuka tena
Hivi mwenye birthday na waalikwa nani anapewa zawadi?! 😎 😎
 
Hivi mwenye birthday na waalikwa nani anapewa zawadi?! 😎 😎
Anapewa zawadi mwenye birthday ila kumbuka uliahidi zawadi jamani basi mimi utanidai bucket ya heinekenn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…