Wanaruhusiwa kusoma kwanza.
Siku mbili zilizopita RRONDO nimetimiza miaka kumi ndani ya JF. Wengi huwa wanauliza kwanini nimejiita RRONDO ni Rajon Rondo ambae nilikuwa nafananishwa nae kwenye basketball court.
Katika miaka hii 10 sijawahi kupigwa ban na haina maana ni mtakatifu basi tu inatokea. Nimepata marafiki wengi sana,connections za biashara kibao. Kifupi nilipojiunga jf mpaka leo nimepiga hatua.
Kiukweli nilijiunga 2006 au 7 enzi za jambo chat kama sijakosea, baadae mhusika mkuu akanishawishi nijiunge forum kwani kuna mijadala mizuri.
Ile id ya enzi hizo niliiacha kwasababu nilijilipua sana kwasababu ya ujana. Ila Maxence Melo inabidi sasa niwe Platinum member kwani shingapi?
Happy New year everyone
Ha ha haIle id ya enzi hizo niliiacha kwasababu nilijilipua sana kwasababu ya ujaKuna wakati forum hupinduka na kucheua
Unaweza kudhani nazungumzia kile unachokiwaza mawazoni mwako... Picha iliyojengeka ya kitu kilichopinduka...! Most likely gari.. Likiwa kichwa chini mijuu guu.! [emoji144] Ama dhana ya kucheua, moja kwa moja ukimwazia mnyama kama ng'ombe ambaye mchana kutwa hukusanya chakula chake na kukihifadhi...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
Hongera na weweMarch hii uzima ukiwepo nitakua na 12years humu ndani na Siku zote nikiwa active member!! Duh! Hongera sana RRONDO
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam Mpwa, si haba! Nakumbuka ilikua MTU unafunga safari kabisa kwenda Internet Cafe kwa ajili ya Jambo forum then baadae JF! HahahahaElli miaka 12 na wewe unastahili pongezi
Tumetoka mbali.....darhotwire unaikumbuka?Naam Mpwa, si haba! Nakumbuka ilikua MTU unafunga safari kabisa kwenda Internet Cafe kwa ajili ya Jambo forum then baadae JF! Hahahaha
Baadae nikapata Laptop nikawa naenda Open University pale Kinondoni na cable yangu nachomeka LAN nakula net pale Library!
Na zile computer pale UDSM kitivo Cha Elimu miaka ile dah
Sana sana! Naikumbuka vizuri haahahahaTumetoka mbali.....darhotwire unaikumbuka?