Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

Ile id ya enzi hizo niliiacha kwasababu nilijilipua sana kwasababu ya uja
Siku mbili zilizopita RRONDO nimetimiza miaka kumi ndani ya JF. Wengi huwa wanauliza kwanini nimejiita RRONDO ni Rajon Rondo ambae nilikuwa nafananishwa nae kwenye basketball court.
Katika miaka hii 10 sijawahi kupigwa ban na haina maana ni mtakatifu basi tu inatokea. Nimepata marafiki wengi sana,connections za biashara kibao. Kifupi nilipojiunga jf mpaka leo nimepiga hatua.
Kiukweli nilijiunga 2006 au 7 enzi za jambo chat kama sijakosea, baadae mhusika mkuu akanishawishi nijiunge forum kwani kuna mijadala mizuri.
Ile id ya enzi hizo niliiacha kwasababu nilijilipua sana kwasababu ya ujana. Ila Maxence Melo inabidi sasa niwe Platinum member kwani shingapi?

Happy New year everyone

Jr[emoji769]
 
Ile id ya enzi hizo niliiacha kwasababu nilijilipua sana kwasababu ya uja
Jr[emoji769]
Ha ha ha
 
Big up [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji116][emoji109]
downloadfile-33.jpeg

Jr[emoji769]
 
Elli miaka 12 na wewe unastahili pongezi
Naam Mpwa, si haba! Nakumbuka ilikua MTU unafunga safari kabisa kwenda Internet Cafe kwa ajili ya Jambo forum then baadae JF! Hahahaha

Baadae nikapata Laptop nikawa naenda Open University pale Kinondoni na cable yangu nachomeka LAN nakula net pale Library!

Na zile computer pale UDSM kitivo Cha Elimu miaka ile dah
 
Tumetoka mbali.....darhotwire unaikumbuka?
 
Wakati Internet Cafe zinaanza hazikua na wale wa vyumba, sasa watu walikua washamba sana! Dah Siku moja Tanga mjini pale kuna Wanafunzi wa Eckenforde wakaja si wakaingia www.worldsex.com wakafungua, kumbe spika volume iko juu! Aaghhh dakika tu utulivu wa Cafe nzima ukaharibika! Hawajui wazimie wapi! Ni miguno tu......
 
Back
Top Bottom