Halafu watu wazima kabisa! Dah tumetoka mbaliDuh halafu watu wengi cafe walikuwa wanaenda kuangalia porn. Ikifika zamu yako una log in ikifunguka unakutana na balaa
Sio peke yako, mko wengi. Mara nyingi tunaona tunachotaka kuonaMacho yangu yalikua na shida gani!! siku zote nilikua nasoma hii ID kama PRONDO na sio RRONDO. Nashindwa na kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi niangalie.
Inaingia miaka 8 sasa.
Hukuvuta ndani kabisa mkuu? Au ilikuwa 'one time'!!!Nimepata "vitu" vingi sana mkuu
Alibadili nahisi maana mwanzo ilikuwa Prondo.Macho yangu yalikua na shida gani!! siku zote nilikua nasoma hii ID kama PRONDO na sio RRONDO. Nashindwa na kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah sawa mkuu wangu.Vitu nilimaanisha elimu, connections....mkuu ulikuwa na maana gani?