Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijabadili chochote mkuu, Mimi ni yuleyuleMiaka inakimbia sana sijui kwanini....miaka hii 10 ulikuwa na ID hii hii au umebadili jina?
Ni kweli mkuu, kuna msimu nachangia sana kuna msimu nasoma zaidi.Basi sio mchangiaji sana hata posts zako zinajieleza
Rrondo, Mimi ni mwenyeji kwenye kutumia social media. Nimetumia pia Anonymous social Network kwa muda usiopungua miaka 10 mfano Reddit.Thanks....wewe Una miezi miwili tu? Unaonekana mwenyeji
Aaah ndo unanifariji nijihisi tupo wengi tunaokazwa na vyuma au?Asante....vyuma mama
Aaah ndo unanifariji nijihisi tupo wengi tunaokazwa na vyuma au?
Najua mbonaMnaokazwa na vyuma mko wachache mimi sipo 😱😱😱😱😱😀😀
Rabhekaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha huyu alikuwa ananitega mjadala ubadilike. Btw jf 6-10yrs was so cool
Hahahaha!! Nimemtega naona haingii line...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungemalizia hata kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@eli79 nimecheka mbavu sina
Sent using Jamii Forums mobile app
My lady[emoji125][emoji125]Rrondo, Mimi ni mwenyeji kwenye kutumia social media. Nimetumia pia Anonymous social Network kwa muda usiopungua miaka 10 mfano Reddit.
Hamna jipya kwenye kutumia jamiiforums, kila kitu kipo hivyo hivyo. Kuficha identity ni sawa, kulike ni sawa, Ku comment ni sawa. Hata kama nina siku moja ndani ya jamiiforums au social media yoyote kutakachonitambulisha kama mgeni ni 'join date' basi.
Sis darling, lugha hii jamani.. happy new yr.Aaah ndo unanifariji nijihisi tupo wengi tunaokazwa na vyuma au?
Nikufuate nyuma Eli?[emoji4]My lady[emoji125][emoji125]