Miaka 10 ndani ya JF

Thanks....wewe Una miezi miwili tu? Unaonekana mwenyeji
Rrondo, Mimi ni mwenyeji kwenye kutumia social media. Nimetumia pia Anonymous social Network kwa muda usiopungua miaka 10 mfano Reddit.

Hamna jipya kwenye kutumia jamiiforums, kila kitu kipo hivyo hivyo. Kuficha identity ni sawa, kulike ni sawa, Ku comment ni sawa. Hata kama nina siku moja ndani ya jamiiforums au social media yoyote kutakachonitambulisha kama mgeni ni 'join date' basi.
 
Hahahaha!! Nimemtega naona haingii line...
 
My lady[emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…