Hahahaha!! Nimemtega naona haingii line...
Asante maana muhusika alisema macho yanaona kile yanataka kuona hahaha ndio kabisa nikahisi itakua nahitaji kula karoti kwa wingiAlibadili nahisi maana mwanzo ilikuwa Prondo.
Acha uchochezi... π π πKachomoa kaogopa vita ya 3 ya dunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miaka 10 bila "kupata vitu" mhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kujiita PRONDO....RRONDO aka Rajon RondoAsante maana muhusika alisema macho yanaona kile yanataka kuona hahaha ndio kabisa nikahisi itakua nahitaji kula karoti kwa wingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifuate tu Paula, nakusubiri kona ya pili tu hapa.[emoji2960]Nikufuate nyuma Eli?[emoji4]
AmenTuombe uzima
Ndio namshangaa RRONDO, kwani we miaka yote kweli bila bila?[emoji2960]Kachomoa kaogopa vita ya 3 ya dunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miaka 10 bila "kupata vitu" mhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Paula Paul ana akili sana, ananikumbusha Nalendwa sijui siku hizi anajiita nani?Nifuate tu Paula, nakusubiri kona ya pili tu hapa.[emoji2960]
Tulia hapo hapo mkuu! Ukiongea kwa nguvu unaharibu.Huyu Paula Paul ana akili sana, ananikumbusha Nalendwa sijui siku hizi anajiita nani?
Mimi sina malengo yoyote zaidi ya kujifunza na kuelimika, malengo mengine ni matokeo ya kufahamiana na watu wa humu.Mkuu nipo humu kwa malengo tofauti na wewe. Halafu sisi wengine watata, warembo wenu hawajibu hata pm zetu