financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ndio namshangaa RRONDO, kwani we miaka yote kweli bila bila?[emoji2960]
Ndio nishangae! Turudi basi kwenye ule uzi tuteme sumu kule..haha amu[emoji23][emoji23]Kwani nimemkosea nini Mungu mpaka iwe bila bila????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Eli nisubiri hapo hapo tuongozane.Nifuate tu Paula, nakusubiri kona ya pili tu hapa.[emoji2960]
Ndio nishangae! Turudi basi kwenye ule uzi tuteme sumu kule..haha amu[emoji23][emoji23]
Asante RRONDO. Kichwa hapa kimevimba [emoji4][emoji4]Huyu Paula Paul ana akili sana, ananikumbusha Nalendwa sijui siku hizi anajiita nani?
Kanivimbisha kichwa hatari. Hapa nahisi kimekuwa kikubwa hadi mwili unashindwa kukibebaTulia hapo hapo mkuu! Ukiongea kwa nguvu unaharibu.
Alichosema hakina tofauti na mtazamo wangu Paula. Vimba tu kichwa coz unapewa sifa zako haswa.Kanivimbisha kichwa hatari. Hapa nahisi kimekuwa kikubwa hadi mwili unashindwa kukibeba
Ila katika members niliokuwa nawatamani wewe ni mmoja wao sema nyota sina halafu domo zegeππKwani nimemkosea nini Mungu mpaka iwe bila bila????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha enzi hizo kulikuwa na nyuzi ngumu,kujibu mpaka ujipangeHongera sana mkuu, mimi hiyo 2006 nilikua std 7 aisee,hapo hata sijui kama ningekuja kumiliki smartphone. Uko vizurii[emoji3] vipi enzi hizo kulikua na nyuzi kama za kulana kimasihara nk pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Eli.Alichosema hakina tofauti na mtazamo wangu Paula. Vimba tu kichwa coz unapewa sifa zako haswa.
Ila katika members niliokuwa nawatamani wewe ni mmoja wao sema nyota sina halafu domo zegeππ
[emoji23][emoji23][emoji23]nitasubiri uanze! Huwa napenda kuwa wa mwisho...
Doh nina nini mimiπππ hata mtu angesema anilipie nitamuomba anipe tu hiyo laki ninunue mbogaDada yake nilipie.
Unarenew kila mwaka.
Haha si vyuma vinakaza jamani brod darling. Happy new year to you and yoursSis darling, lugha hii jamani.. happy new yr.
Ha ha ha imelenga mle mle. Nikicheki Omotola na posts zako dahIle shepu ya Omotola ilikuwa inawazuzua wengi mpaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app