Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Mengine yaweza kuwa sawa,lakini la kupiga ulabu vijana wasikuije kabisa!
 

Wow,...hongera kiongozi, wewe mbele sie twafuatia! Hongereni sana!...
 
hembu nipe babu
 

Heheheh hommie kumbe umekula sana vya kwenye mboga eeehhh...hongera sana mkuu...
 
Babu hongera, endelea kumpenda bb zaidi ya hapo.
Senkyuu....hata wewe ntaendelea kukupenda!

Hongera sana, mna watoto wangapi mkuu?
Wawili mkuu.........wote wa kike wazuri kama mama yao na mama yangu.


Wow,...hongera kiongozi, wewe mbele sie twafuatia! Hongereni sana!...
Senkyu kiongozi....nakuombea heri!

hembu nipe babu
Nikupe nini mpenzi?

Heheheh hommie kumbe umekula sana vya kwenye mboga eeehhh...hongera sana mkuu...
Chumvi nyingi, mvi nyingi, umri mkubwa.............BABU!


Ahsante sana mpenzi...........nawe twakuombea heri.......
 
nipe mabusara babu
 
aaaaaaaaiiiiiiiiiiiiii hongera babu..... Khaaaaa! miaka yoote hiyo??? bado mnanihiuuu????
 
Asubuhi yote hii na PM? kazi zitakuwa haziendi
Hivi kumbe uko kazini? Unapewa sitting allowance?...Hebu nipe contacts za mkoloni wako nitete naye (ofkoz kwenye PM)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…