Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

kweli nimekula chumvi mie nimeanza kupata na wakwe JF,nimeamka salama kabisa sijui wewe hapo ulipi:tea:

Si unajua kila siku mtu lazima uweke mazingira mazuri kwa mama mkwe mtarajiwa ili asije akakunyima mwanae
 
Big up tupo mbioni kukanyaga nyayo zako hasa za kwenye visigino
 
Hongera Asprin miaka 10 si haba kwa maisha ya leo



Congrats Asprin 10yrz c mchezo..hopefly hata tabia za kibazazi za infidelty utaacha..wshin u 70+ yrz mo yenye furaha katika ndoa yenu!!

hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs

Hongera sana Asprin pamoja na mai waifu wako, Mungu awazidishie maisha mema na marefu, yalojaa furaha,upendo,amani na matunda yoote ya roho. :amen:

Hongera nyingi kwako Kaka and to Mama Matesha.

Well done:cheer2:

Happy Anniversary


Hongera sana mkuu mungu awajalie upendo usiochuja.


Wote kwa mpigo nawashukuru sana, ntazingatia ushauri wenu! Mbarikiwe!:llama::llama:
 
Hongera Asprin na mke kwa kufikisha miaka kumi ya ndoa. Siku zaenda kwelikweli au sio. Hongereni sana na Mungu awajalie mfikishe miaka mingine kumi mtupikie pilau tuje tufurahi pamoja nanyi.


Unastahili pongezi kwa kuthamini umuhimu wa mke wako, mbarikiwe sana na kuzeeka wote!..

Asprin hongera sana comrade,mnahitaji kumshukuru Mungu sana zaidi pia nawatakia heri na baraka za Mungu.I am poping champagne for u ryt now,good cheer:decision:


hongera sana aspirin. ni jambo la kujivunia.

Hongereni mkuu, wewe na mkeo!

Big up tupo mbioni kukanyaga nyayo zako hasa za kwenye visigino


Woote kwa pamoja Ahsanteni sana.......Hasa hasa dada Remmy! (Msitafiri vibaya wajameni!:hand::hand:
 
Woote kwa pamoja Ahsanteni sana.......Hasa hasa dada Remmy! (Msitafiri vibaya wajameni!:hand::hand:

:blah::blah::couch2::couch2::typing::typing:😛ray2:😛ray2::tea::tea::violin::violin::bolt::bolt:
 
Asprin pls update za jana?
Weye navyokujua utakuwa uliingia home saa nane usiku na beer kichwani kitandani ukapanda na viatu


Sina cha kusema kwakweli....ngoja King Teamo aamke akuje hapa waleteeni habari!

Palikuwa hapatoshi. Suprise ya nguvu......imagine mama Matesha alikuwa hakumbuki kama tarehe imefika! Nilimsuprise vibaya mpaka machozi yakamtoka....! Na vya kupewa nikajisevia kwa raha yangu...LOL:llama::llama::llama::llama::llama:
 
Wote kwa mpigo nawashukuru sana, ntazingatia ushauri wenu! Mbarikiwe!:llama::llama:

Hivi sherehe wapi vilee :whoo:

Jana nimenyemelea vijiwe vyako vyote nimekukosa.
 
Teamo aliniambia umemwalika yeye peke yake mm nikaendelea kula vitu kwa Mjapan

Kwa hiyo mwenye kesi ya kujibu hapo ni mimi, wewe, Teamo au mjapani?
 
i had a good dream last night, kwamba kipengele cha wivu kimeongezwa kwenye sheria mama...
 
Hongera zako Mkuu! Hiyo GAME si lele mama! Haitestiwi! Iko kama sumu.... Ukiingia no exit! !1O yrs sio MCHEZO! Mungu awabariki sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…