Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Miaka kumi ni mwendo mzuri, ikifika ishirini, kama bado mtakuwa na bond nzuri kama hii basi pale ni mwanzo wa new friendship, i.e is like new dating in you!!! Na pale unaendelea kupiga goti kuombea ndoa yenu na ikifika 30 years ni celebration of your life achievements, together!!! Yaani hapa kama ni matatizo ya ndoa inakuwa kama simulizi kabisa, you enjoy, some with grandchildren!!! I love it!! Hongera sana mkuu, bado mwendo upo kaza buti kuimarisha mahusiano yenu!! Ndoa na iheshimiwe na watu wote, Mungu anachukia talaka!!!

Maana umenifurahisha na hii post wewe una grandchildren??
 
tena wewe mwanagu sikupi ng'o naona kama nitakuwa nimetoa sadaka ya kuteketezwa

FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me
 
FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me

Sema vizuri mkuu. Kwamba hayo yanaapply wakati wa uchumba. Kwa hiyo mtoto asiwe na wasi wasi ila baadaye ataishi kama wana Infii wengine. Ukizingatia na mama naye memba wa Infii. Hapo ulamba bingo!!
 
Sema vizuri mkuu. Kwamba hayo yanaapply wakati wa uchumba. Kwa hiyo mtoto asiwe na wasi wasi ila baadaye ataishi kama wana Infii wengine. Ukizingatia na mama naye memba wa Infii. Hapo ulamba bingo!!

Tunahakikisha hakuna chembe chembe zozote zile za kuweza kuhisiwa unatoa uncoditional love on the same level na hauachi mbachao kwa msala upitao kila kitu kinaenda the same hapo hata aje mwanasheria mkuu wa serikali kukuchunguza itakula kwake
 
Hongera Asprin na mke kwa kufikisha miaka kumi ya ndoa. Siku zaenda kwelikweli au sio. Hongereni sana na Mungu awajalie mfikishe miaka mingine kumi mtupikie pilau tuje tufurahi pamoja nanyi.
 
Mazee nilitaka kukupongeza sana kwa miaka yote hii ya ndoa,

Lakini nikaona hili

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Nikajua inawezekana kabisa umempenda mamie kwa kuwa hakushiki pabaya na kudai usawa nyumbani. Amegeuka hausigeli na yaya mlezi . Ningeona ndoa yako ni ya kujivunia zaidi kama ungeweza kutuambia unatumia muda mwingi zaidi na familia kuliko kwenye ulabu.

Hata hivyo, kwa msingi wa makubaliano yenu, mnapaswa kupongezwa kwa miaka kumi hii ndani ya ndoano ya ndoa.
 
FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me

Mh mh....
Hapo hata ukiambiwa upige magoti utapiga...
Ili mradi tuu!!
 
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:

Unastahili pongezi kwa kuthamini umuhimu wa mke wako, mbarikiwe sana na kuzeeka wote!..
 
Asprin hongera sana comrade,mnahitaji kumshukuru Mungu sana zaidi pia nawatakia heri na baraka za Mungu.I am poping champagne for u ryt now,good cheer:decision:
 
FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me
kumbe ukiwa unabembelza unatia huruma hivi..pole sana!!
 
Ahsante kamanda....wanasemaga watu kuwa wanaume wasiopiga ulabu wana hobby zao nyingine...sijui ni kweli?

Hakuna kitu kama hicho; huo ni utetezi wa mafisadi. Hata hivyo hongera sana ingawa unaonekana umelegea sana na kumuachia mama majukumu yote ya watoto (kwa ulabu?). Angalia mama asije kuwa baba wa watoto wako kwa kutowajibika kwako kwenye malezi yao, itakuwa mabaya sana kwenye utu uzima wao.

Jirekebishe ili ndoa yenu iwe nzuri zaidi.
 
hongera sana aspirin. ni jambo la kujivunia.
 
Hongera mkuu, ila umemalizia vibaya kwa kuabudu uzinifu
 
Asprin pls update za jana?
Weye navyokujua utakuwa uliingia home saa nane usiku na beer kichwani kitandani ukapanda na viatu
 
Back
Top Bottom