FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Miaka kumi ni mwendo mzuri, ikifika ishirini, kama bado mtakuwa na bond nzuri kama hii basi pale ni mwanzo wa new friendship, i.e is like new dating in you!!! Na pale unaendelea kupiga goti kuombea ndoa yenu na ikifika 30 years ni celebration of your life achievements, together!!! Yaani hapa kama ni matatizo ya ndoa inakuwa kama simulizi kabisa, you enjoy, some with grandchildren!!! I love it!! Hongera sana mkuu, bado mwendo upo kaza buti kuimarisha mahusiano yenu!! Ndoa na iheshimiwe na watu wote, Mungu anachukia talaka!!!
Maana umenifurahisha na hii post wewe una grandchildren??