Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Si umeonae? fuata nyayo za wifi yako nawe, punguza unoko kwa mmeo!

unamuombea Gaijin apate mume? wa pili au? nijuavyo Gaijin yupo kwenye game tayari au naota jamani, hata hivyo wifi yangu nae ana moyo wa ziada 10yrs na mwehu kama wewe? amevumilia mengi sana...kaka mie mpaka hapa nimejitahidi sana aisee, yaani kwa matakwa yake mola nitafikisha hapo ulipo, lakini wake zenu jamani 2nawapenda sana na tuna majukumu mengi juu ya kutunza/kulinda familia zetu, naomuonea raha sana na ninampongeza sana wifi yangu..10ys sio mchezo.
 
Sasa siyo Amen kwa herufi kubwa afu Tamuu....ahsanteeee....mhhhhhhh ehhhhh inakuwa kwa herufi ndogo. Watakuibia watu!

hahaha asante kwa mafundisho.

nimekuelewa...........lazima HERUFI KUBWA zitumike pahala panapohusika or else DaSophy atafanya vitu vyake!
 
unamuombea Gaijin apate mume? wa pili au? nijuavyo Gaijin yupo kwenye game tayari au naota jamani, hata hivyo wifi yangu nae ana moyo wa ziada 10yrs na mwehu kama wewe? amevumilia mengi sana...kaka mie mpaka hapa nimejitahidi sana aisee, yaani kwa matakwa yake mola nitafikisha hapo ulipo, lakini wake zenu jamani 2nawapenda sana na tuna majukumu mengi juu ya kutunza/kulinda familia zetu, naomuonea raha sana na ninampongeza sana wifi yangu..10ys sio mchezo.

Dada hapo umesahau kidogo kinachoendelea kwenye jamii,

Vichaa ndio wanaotunza ndoa vizuri kuliko wale yes, yes, maaaam! May be wanajua jinsi ya kuburuza mambo. Lakini ni kawaida kabisa kukuta binti mrembo ameganda kwa mtu wa ajabu ajabu.

Nadhani maaskofu wetu na watawa wengine ndoa zingewashinda. Ni kama vile uchizi ndiyo dawa ya ndoa.
 
Nyamayao

dua haikataliwi. There is always an area for improvement .........unaweza ukashangaa, umelala umeamka, unakuta mambo yamebadilika for the better kumbe dua ya Asprin. LOL
 
Dada hapo umesahau kidogo kinachoendelea kwenye jamii,

Vichaa ndio wanaotunza ndoa vizuri kuliko wale yes, yes, maaaam! May be wanajua jinsi ya kuburuza mambo. Lakini ni kawaida kabisa kukuta binti mrembo ameganda kwa mtu wa ajabu ajabu.

Nadhani maaskofu wetu na watawa wengine ndoa zingewashinda. Ni kama vile uchizi ndiyo dawa ya ndoa.

kuna ukweli kabisa kaka coz na mie wangu mwehu hivyo hivyo lakini kwenye masuala ya familia haambiwi kitu, kuna ukweli ndani yake.
 
Ongera sana Asprin, kwa kufikisha miaka 10 katika ndoa yako... mimi mwenzio nina miaka 11 na miezi kadhaa sasa na nashukuru Alhamdulillah maisha yetu ni ya maelewano na upendo mkubwa sana. Na nashukuru tena kwani ndani ya ndoa hii tumejaliwa watoto wawili Mke na Mume wenye afya na siha njema... Hakika ndoa ni safari ndefu sana yenye kuitaji uvumilivu na ubunifu wa kila aina.
 
kuna ukweli kabisa kaka coz na mie wangu mwehu hivyo hivyo lakini kwenye masuala ya familia haambiwi kitu, kuna ukweli ndani yake.

Umeona enhhhh?

Unajua mwanamume ukijifanya mtakatifu na kunyenyekea kama unataka kuubusu msalaba wa Ijumaa kuu ndoa inakushinda?

Ndo maana nyie wanawake mko complex kuliko zile hesabu za sekondari tulizozikimbia!
 
unamuombea Gaijin apate mume? wa pili au? nijuavyo Gaijin yupo kwenye game tayari au naota jamani, hata hivyo wifi yangu nae ana moyo wa ziada 10yrs na mwehu kama wewe? amevumilia mengi sana...kaka mie mpaka hapa nimejitahidi sana aisee, yaani kwa matakwa yake mola nitafikisha hapo ulipo, lakini wake zenu jamani 2nawapenda sana na tuna majukumu mengi juu ya kutunza/kulinda familia zetu, naomuonea raha sana na ninampongeza sana wifi yangu..10ys sio mchezo.
Hahaha! mwenyewe ananiitaga chizi wangu! Haambiwi wala hasikii kitu juu yangu!

hahaha asante kwa mafundisho.

nimekuelewa...........lazima HERUFI KUBWA zitumike pahala panapohusika or else DaSophy atafanya vitu vyake!
Usipoweka herufi kubwa, da sophy atakusaidia, we utabakia kuja kuomba ushauri hapa JF lol!
 
Shhhh! Teamo, Kaizer na Roya Roy wakiona hii watanitenga kwenye chama......mim1 kwao ni kama mtoto aliyetumboni mwa mama yake akisubiri wiki mbili ndio aje duniani!
ha ha ha ha!
hapa mimi sijaona kabisa!
hakika sijaona....!
be back shortly
 
ha ha ha ha!
hapa mimi sijaona kabisa!
hakika sijaona....!
be back shortly

Fanya haraka ujibu kesi. Lazima nikuburuze kwa Pilato bila huruma, ingawa wewe ni dogo wangu!!
 
unamuombea Gaijin apate mume? wa pili au? nijuavyo Gaijin yupo kwenye game tayari au naota jamani, hata hivyo wifi yangu nae ana moyo wa ziada 10yrs na mwehu kama wewe? amevumilia mengi sana...kaka mie mpaka hapa nimejitahidi sana aisee, yaani kwa matakwa yake mola nitafikisha hapo ulipo, lakini wake zenu jamani 2nawapenda sana na tuna majukumu mengi juu ya kutunza/kulinda familia zetu, naomuonea raha sana na ninampongeza sana wifi yangu..10ys sio mchezo.
hehehehehe!
HATA HII POST MIMI SIJAIONA KABISAAAAAAA!
HAKI YA NANI TENA MI SIJAIONA!....be back shortly!
 
Umeona enhhhh?

Unajua mwanamume ukijifanya mtakatifu na kunyenyekea kama unataka kuubusu msalaba wa Ijumaa kuu ndoa inakushinda?

Ndo maana nyie wanawake mko complex kuliko zile hesabu za sekondari tulizozikimbia!

kaka nimecheka sana jamani, khaa!mambo ya njia ya msalaba....kaka nimekubaliana na wewe kabisa kuhusu kuwa "mwehu" kwenye game, mie mr anasemaga ameoa "chizi", mie namuonaga yeye "mwehu"...bac ukichanganya hao wawili maisha yanakuwa marahic
 
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:

MKUU KWANZA NAKUPA HONGERA YA KUTOFUMANIWA
PILI NAJUA HATA KAMA UJAFUMANIWA KESI ZA HOUSEGIRL IMEKUPITIA PEMBENI
KILA LA KHERI NA MUNGU AKUHATARISHE NA HOUSEGIRL CASES ZIDI KUMWOMBA MUNGU
BADO UNA SAFARI NDEFU MIAKA MINGINE MITANO NATARJI KUONA HII
Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu

NA SIOMiaka 10 ndani ya ndoa: Ahsanten sana wake wangu

na wewe shemeji embu njoo basi umpongeze mumeo kwa kutomfumania jamani ameanza na ya miaka kumi si mchezo kaka kama dili we diliman..wengi wananaswa kwenye mitego lakini kuanzi siku uliompngeza natangaza mitego yako yote kuwa wazi in jesus name ..ntatarajia kukuona ukijipongeza kwa kutotoka nje miaka kadhaa ijayo
 
kaka nimecheka sana jamani, khaa!mambo ya njia ya msalaba....kaka nimekubaliana na wewe kabisa kuhusu kuwa "mwehu" kwenye game, mie mr anasemaga ameoa "chizi", mie namuonaga yeye "mwehu"...bac ukichanganya hao wawili maisha yanakuwa marahic

umeonae? sasa kwa sababu wewe ni chizi, ukimfumania mwehu wako anafanya infidelity chukulia tu mambo ya kiwehuwehu...utaona ndoa yako itakavyodumu!
 
MKUU KWANZA NAKUPA HONGERA YA KUTOFUMANIWA
PILI NAJUA HATA KAMA UJAFUMANIWA KESI ZA HOUSEGIRL IMEKUPITIA PEMBENI
KILA LA KHERI NA MUNGU AKUHATARISHE NA HOUSEGIRL CASES ZIDI KUMWOMBA MUNGU
BADO UNA SAFARI NDEFU MIAKA MINGINE MITANO NATARJI KUONA HII
Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu

NA SIOMiaka 10 ndani ya ndoa: Ahsanten sana wake wangu

na wewe shemeji embu njoo basi umpongeze mumeo kwa kutomfumania jamani ameanza na ya miaka kumi si mchezo kaka kama dili we diliman..wengi wananaswa kwenye mitego lakini kuanzi siku uliompngeza natangaza mitego yako yote kuwa wazi in jesus name ..ntatarajia kukuona ukijipongeza kwa kutotoka nje miaka kadhaa ijayo

Nadhani itakuwa MIAKA 25 NDANI YA NDOA: Ahsanteni wasaidizi wa mke wangu kwa kutoivunjisha ndoa yangu!
 
Halafu wewe nakudai ujue!

so una mpango gani jioni hii na wifi yangu, wachana na macharali na kitimoto, hebu fanya fanya mambo kukamilisha raha yake, c unajua tena, leo pitia dukani nunua kazawai katamu, mpe mtoko kdogo, khaaa wewe unasheherekea miaka 10, frnd wangu jana ananical ananiambia anaandaa dinner ya mwaka mmoja wa ndoa...bac cku zinasonga.
 
umeonae? sasa kwa sababu wewe ni chizi, ukimfumania mwehu wako anafanya infidelity chukulia tu mambo ya kiwehuwehu...utaona ndoa yako itakavyodumu!

mhhh...unataka kuniharibia mchana wangu ama?
 
Hongera kamati inafanya logistics ya kuandaa sherehe kidogo nawasiliana na viongozi wengine ila hapo kwenye red naangalia orodha ya majina kama nikikutana na jina lake nitakufahamisha ili tuone kama kuna agreement yoyote inaweza kufanyika pande zote mbili bila kuwa na matatizo yoyte yale
hili jukwaa balaa, yani kutoka kidogo tu kama ishakula futi tano!!???

Mkuu kweli unahitaji cheers...

Ndoa ni only qualification ambayo unapewa cheti na safari halafu ndio unaanza kitabu... you have made it to yen year,

  1. kwanza mshukuru mungu kwa kukupa uhai, uatshi na MKE MWEMA (MAANA HUYO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU NA SIO ZAWADI KUTOKA KAUNTA)
  2. Pili mshukuru mkeo
  3. tatu wazazi au walezi waliomlea na wale waliokulea - wangewaharibu msingefika hapo
  4. mwisho ni watoto wenu na wote wanaowaombea mema

Mengine yote ni majaaliwa yake na vijijaaliwa vya mitaani

Chamber imekuandalia valeur na wine ya ndizi toka moshi especially for you, tumeagiza mnyama na tunaomba wapenzi wote wa konyagi wanywe chupa mojamoja kwa furaha tele na kwa gharama zao
 
Back
Top Bottom