Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
Akiyanani nakushusha kibusha, nakupa 2hrs ufute kauli.Hata ww si ulilala getini na kaka yako Kiiza mnalinda!! Mnabahati mngezama kivukoni manaa saa9 usk mnavuka
Ujue mimi ni Verified user siwezi kuongea uongo..Akiyanani nakushusha kibusha, nakupa 2hrs ufute kauli.
Ongea na Mwenyekiti wenu Msaidizi Mentor maana wengi wenu mabazaz hamjui viongozi wenu humu ndani....Print T-shirts sasa uzigawe kwa members
Hahahaha, unajitahidi kujtetea mkuuNasema hiviiii...MIMI SI BAZAZI usiogope kuja kwa ukaguzi.
Nakala:
Asprin, mtu chake, Ben Mugashe, steven masatu et al...
Hahahahahaaa.. Wewe bazazi mdogoNasema hiviiii...MIMI SI BAZAZI usiogope kuja kwa ukaguzi.
Nakala:
Asprin, mtu chake, Ben Mugashe, steven masatu et al...
Hahaha kigamboni tena,unafukua kaburi weweMkaguzi wewe? Nina salaam zako toka Kigamboni
Kandambili?? Alimtolea wapi hicho kideti kinachovaa kandambili kwenda kwa mchuchu karne ya 21? Hata ningekua Mimi ningezima simu.Mungu wanguu weeeeeeeee.
Hivi unawajua hao jamaa vizuri.
Babu @Aspirin mwenyewe aliita kideti kikaja kimevaaa kandambili, alivyo falasi badala akampokeee Bebe yake yeye si akaingia chini ya meza na simu akazima. Manina walahi mtoto alikuwa kalowa vumbi miguuuni balaaa. Halafu wewe ndo unaomba wakakukague? Tena leoleo!?
Walaaaaahii hako Kabazazi kadogo ka@mentor hakafai kabisaa.
Hahaha demu wa JF alikuja na kandambili?Mungu wanguu weeeeeeeee.
Hivi unawajua hao jamaa vizuri.
Babu @Aspirin mwenyewe aliita kideti kikaja kimevaaa kandambili, alivyo falasi badala akampokeee Bebe yake yeye si akaingia chini ya meza na simu akazima. Manina walahi mtoto alikuwa kalowa vumbi miguuuni balaaa. Halafu wewe ndo unaomba wakakukague? Tena leoleo!?
Walaaaaahii hako Kabazazi kadogo ka@mentor hakafai kabisaa.
Hahaha, nyie wazee hamna adabu ,mabaz walifungua ki pub chao cha kuchukulia totoz nasikia mwananyamala hukoHata ww si ulilala getini na kaka yako Kiiza mnalinda!! Mnabahati mngezama kivukoni manaa saa9 usk mnavuka
Ila ile ya escape one alitisha ,JF party watu wamechangishwa kumbe kuna tukio ndani yakeAlikana kabisaa kwamba hausiki. Kajamaaa Ni kataaalam kabesidei, kwa mwaka kanafanyiwa zaidi ya Mara 3 na wadudu tofautitofauti.
Ongeza Vin Diesel naye nyatu nyatu sana huyu MTU
Astaghafirulllaah , hawafai hao jamaaa nakwambiaHahaha, nyie wazee hamna adabu ,mabaz walifungua ki pub chao cha kuchukulia totoz nasikia mwananyamala huko
Mambo ya Verosa na Celica
HahahahaKijana enzi zake mwaka mmoja anafanyiwa BD 3 na madem tofauti... Mungu anamuona huyu Mentor Senior Bazaz.. Pamoja na Mwenyekiti wake Nicas Mtei na Mtunza Fedha Kaka Kiiza.. Katibu Mkuu Babu Aspro na Afsa Habari Jiwe Linaloishi huku Katibu Msaidizi Steve..
Kuna na Mazaz wao nao wataanza kutajana hapa wakiongozwa na MALAIKA
Hebu fukunyua lile kabuli la VEROSAOngeza Vin Diesel naye nyatu nyatu sana huyu MTU
Ukilitaja Celica hapa utasababishs tetemeko la Ardhi...Hahaha, nyie wazee hamna adabu ,mabaz walifungua ki pub chao cha kuchukulia totoz nasikia mwananyamala huko
Mambo ya Verosa na Celica
Manina hata me Ni Verified user, siwezi ongea, no fake IDs hapa. Sasa umeelewa mchizi.Ujue mimi ni Verified user siwezi kuongea uongo..
Itakua kazi za nje za babu. JF hamna MTU ataenda kidate na kandambiliHahaha demu wa JF alikuja na kandambili?
Hili kaburi lilikua balaa Mentor anajua ,yy ndie mtunziHebu fukunyua lile kabuli la VEROSA
Maweeeeeee Babu Asprin mwenyewe ndo unamuachia ukaguzi. Bora hata uniruhusu me nifanye ukaguzi then niwapelekee report.[emoji16][emoji16]Kandambili?? Alimtolea wapi hicho kideti kinachovaa kandambili kwenda kwa mchuchu karne ya 21? Hata ningekua Mimi ningezima simu.
Kumbe hafai eeeh Mentor? Ngoja nijiweke tu aje akague babu mwenyewe