Miaka 10 sasa jukwaani

Miaka 10 sasa jukwaani

Mungu wanguu weeeeeeeee.
Hivi unawajua hao jamaa vizuri.
Babu @Aspirin mwenyewe aliita kideti kikaja kimevaaa kandambili, alivyo falasi badala akampokeee Bebe yake yeye si akaingia chini ya meza na simu akazima. Manina walahi mtoto alikuwa kalowa vumbi miguuuni balaaa. Halafu wewe ndo unaomba wakakukague? Tena leoleo!?
Walaaaaahii hako Kabazazi kadogo ka@mentor hakafai kabisaa.
Kandambili?? Alimtolea wapi hicho kideti kinachovaa kandambili kwenda kwa mchuchu karne ya 21? Hata ningekua Mimi ningezima simu.
Kumbe hafai eeeh Mentor? Ngoja nijiweke tu aje akague babu mwenyewe
 
Hahaha demu wa JF alikuja na kandambili?
 
Kijana enzi zake mwaka mmoja anafanyiwa BD 3 na madem tofauti... Mungu anamuona huyu Mentor Senior Bazaz.. Pamoja na Mwenyekiti wake Nicas Mtei na Mtunza Fedha Kaka Kiiza.. Katibu Mkuu Babu Aspro na Afsa Habari Jiwe Linaloishi huku Katibu Msaidizi Steve..
Kuna na Mazaz wao nao wataanza kutajana hapa wakiongozwa na MALAIKA
Hahahaha
 
Kandambili?? Alimtolea wapi hicho kideti kinachovaa kandambili kwenda kwa mchuchu karne ya 21? Hata ningekua Mimi ningezima simu.
Kumbe hafai eeeh Mentor? Ngoja nijiweke tu aje akague babu mwenyewe
Maweeeeeee Babu Asprin mwenyewe ndo unamuachia ukaguzi. Bora hata uniruhusu me nifanye ukaguzi then niwapelekee report.[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom