Miaka 10 sasa jukwaani

Karibu sana Ben Mugashe

Mimi nimeanza kuandaa wosia sasa.

😀😀
Kweli Mkuu enzi zenu vita ya tatu ya Dunia Malaria Sugu kabla hajapigwa Life Ban na wafia dini wenzie... Mkuu wee una historia kubwa sana siku moja Njoo hapa utukumbushe tulikotoka maana hawa akina Nanliuu wamekuja juzi na Mbio za Mwenge hawajui kama Kuna ID ina 13yrs active
 
Huyo mazazi natumaini siyo Malaika mimi hapa
 
Mmmh,huyu Malaria Sugu a.k.a MS alikua mtata sana ,Mara ya mwisho alikua ana post MwanaHalisi Forum. Kulikua na FEMS ,kuna akina Moshe Dayne ,D'elvis ...
 

Ni kwekli nna kahistoria fulani hivi ingawa nimejikongoja sana.

Ntaweka historia fupi ikifika wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…