Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
Ohoooooo , kumbe hili lijamaaa linajikaribisha kwako,!? Angalia sana, hilo hatari kinoma, limesababisha IDs muhimu sana za enzi hizo humu ndani kuleft ama kubadili. Lina kakaake huyo balaaa, soon naye ataibuka utafurahi mwenyewe. Me na Babu Aspirin tumekutahadharisha tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuumbeeee.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahaaa. Hapana Babu.Vipi kwani, tayari?
Afadhali...Hahahaaa. Hapana Babu.
Hahahaaaa. Hapana jamaani kwanza leo ndio naiona hiyo Id yake hivyo wala msijali Babu zangu.Ohoooooo , kumbe hili lijamaaa linajikaribisha kwako,!? Angalia sana, hilo hatari kinoma, limesababisha IDs muhimu sana za enzi hizo humu ndani kuleft ama kubadili. Lina kakaake huyo balaaa, soon naye ataibuka utafurahi mwenyewe. Me na Babu Aspirin tumekutahadharisha tuu.
Hahahaaa. Nimefunga milango na makufuli babu hivyo aezi fika huko PM.Afadhali...
Najua hata kama tayari... huwezi nambia
Asipotusikia asitulaumu. Sisi tushatimiza wajibu wetu kama wazee wa kanisaOhoooooo , kumbe hili lijamaaa linajikaribisha kwako,!? Angalia sana, hilo hatari kinoma, limesababisha IDs muhimu sana za enzi hizo humu ndani kuleft ama kubadili. Lina kakaake huyo balaaa, soon naye ataibuka utafurahi mwenyewe. Me na Babu Aspirin tumekutahadharisha tuu.
Babu mwaka huu haujafanyiwa Besidei?Kuwa na nidhamu we dogo. Hapa umenikuta...infact tangu enzi za Jambo Forums... lakini sithubutu kujilinganisha walau na 1 ya mia ya wanakondoo wako.
Swahiba hupokei simu zangu! Me mzima lakini nakuombea dua ufikishe miaka Mia hapa JFDuuh! Hongera zako Mkuu.
Namie natamani ID yangu ije ifikishe hizo miaka japo bado sana aiseee.
Usiwasikilize hao wazee wamekumbwa na ugonjwa wa uzee ww njoo tumalize ile story yetu imbooboooHahahaaaa. Hapana jamaani kwanza leo ndio naiona hiyo Id yake hivyo wala msijali Babu zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mnavyomsema Babu mwenzenu Duuh hata hamumfichii siri.[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc. Asprin
Wewe si jeuri,!!! Ngoja nikuitie kiboko yako.Usiwasikilize hao wazee wamekumbwa na ugonjwa wa uzee ww njoo tumalize ile story yetu imboobooo
AMU mweeeeeee basi basi nilikuwa natania..japo nina picha zako na Madam pia sijui niziupload hapa? Ngoja KakaKiza aje anishauri
Babu sijawahi kumharibia kama anavyonifanyia leo japo mm ndo uwa naokoa jahazi akiharibu..Mungu anamuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuumbeeee.
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
KakaKiiza ujue mimi mdogo wakoOk tumekusoma ila taja na mbunyye ulizovuna kwa jukwaa.
HahahahhahahahahhahahAMU mweeeeeee basi basi nilikuwa natania..japo nina picha zako na Madam pia sijui niziupload hapa? Ngoja KakaKiza aje anishauri
Falasi sana hili dogo lako. Limeona limechuja likaamua lije kivingine eti 10Y anniversary, huu ni ufalasi uliopitiliza, lisharusha ndoano tayari, gia kaliiii eti nitataja kwanini PM yangu ilifungiwa na MOD. Uamsho wewe BenOk tumekusoma ila taja na mbunyye ulizovuna kwa jukwaa.
Mkulya wa Pili kuimba taarabu baada ya yule DadaFalasi sana hili dogo lako. Limeona limechuja likaamua lije kivingine eti 10Y anniversary, huu ni ufalasi uliopitiliza, lisharusha ndoano tayari, gia kaliiii eti nitataja kwanini PM yangu ilifungiwa na MOD. Uamsho wewe Ben
Minne na nusu Mtani.
Ahsante ndugu yangu najikongoja na mie nije kufikia miaka kama ya hao wazee hapo juu. 😜😜😜😜Hongera sana dada akee