Miaka 10 sasa jukwaani

Miaka 10 sasa jukwaani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuumbeeee.

[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ohoooooo , kumbe hili lijamaaa linajikaribisha kwako,!? Angalia sana, hilo hatari kinoma, limesababisha IDs muhimu sana za enzi hizo humu ndani kuleft ama kubadili. Lina kakaake huyo balaaa, soon naye ataibuka utafurahi mwenyewe. Me na Babu Aspirin tumekutahadharisha tuu.
 
Hahahaaaa. Hapana jamaani kwanza leo ndio naiona hiyo Id yake hivyo wala msijali Babu zangu.

😂😂😂😂 ila mnavyomsema Babu mwenzenu Duuh hata hamumfichii siri.😂😂😂

Cc. Asprin
 
Ohoooooo , kumbe hili lijamaaa linajikaribisha kwako,!? Angalia sana, hilo hatari kinoma, limesababisha IDs muhimu sana za enzi hizo humu ndani kuleft ama kubadili. Lina kakaake huyo balaaa, soon naye ataibuka utafurahi mwenyewe. Me na Babu Aspirin tumekutahadharisha tuu.
Asipotusikia asitulaumu. Sisi tushatimiza wajibu wetu kama wazee wa kanisa
 
Hahahaaaa. Hapana jamaani kwanza leo ndio naiona hiyo Id yake hivyo wala msijali Babu zangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mnavyomsema Babu mwenzenu Duuh hata hamumfichii siri.[emoji23][emoji23][emoji23]

Cc. Asprin
Usiwasikilize hao wazee wamekumbwa na ugonjwa wa uzee ww njoo tumalize ile story yetu imboobooo
 
AMU mweeeeeee basi basi nilikuwa natania..japo nina picha zako na Madam pia sijui niziupload hapa? Ngoja KakaKiza aje anishauri
Hahahahhahahahahhahah

Sasa ndo unataka kujiharibia kabisaa kwa Hajar . Ukimwaga Ugalia me namwaga mboga na maji ya kunawia kabisaa.
Nitataja hadi rangi ya GAGULO alilokuwa amevaaa siku hiyo. Chezea wapiga chabo wewe.
 
Back
Top Bottom