Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.
Kwa kweeeli (kwa sauti ya joti) Dada
Hahhahaha lakini ipo waziHahahaha, hapo ni sawa na kufunga tu
Dada sina kabisa ,,, labda nikukabidhi unitafutie chomboHahahaaa. Lol.
Mzima lakini kaka? Anayekuficha Mungu anamuona aisee
Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PMSiunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa
Kabisaaa. Sio lazima Dada.Siunajua dada akee kumjibu mtu pm sio lazima kabisa
Km huwajibu vijana,haina haja MkuuHahhahaha lakini ipo wazi
HahahaKabisaaa. Sio lazima Dada.
Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue.
Yaap niko poaaa Mkuu, sijui kwako?Duuh! Yabidi ndugu japo safari ni ndefu pia.
Amiin. ππ
Uko poa?
Hahahaaa. Mie pia ndio maana nikafunga sababu kama wewe Mtani nilivyokuzowea ukija huko chumbani kwanza nafsi itanisuta kukaa kimya aiseee.Hahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM
Duuh! Kaka huwa hiyo kazi sijawahi iweza ujue.Dada sina kabisa ,,, labda nikukabidhi unitafutie chombo
Huku shwaaari kabisa.Yaap niko poaaa Mkuu, sijui kwako?
Umeamini sina wa kunifungia ndani!Duuh! Kaka huwa hiyo kazi sijawahi iweza ujue.
Wacha uvivu tafuta kaka utapata.
Nakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π πHahahaaa. Mie pia ndio maana nikafunga sababu kama wewe Mtani nilivyokuzowea ukija huko chumbani kwanza nafsi itanisuta kukaa kimya aiseee.
NywilaHahhahaha lakini ipo wazi
Mkuu we tuma laki hiyo,, hahahaNakujaje na ushafunga ? Na Pili PM hapana ,halafu nasikia zinalipiwa PM za wadada JF ,Hahahaha bila laki hamjibu π π
Nice hear from you, Lunch umepata? au bado unakomaa na kazi za Mkoloni(mwajiri)ππππHuku shwaaari kabisa.
πππ Nimeamini aiseee kakaUmeamini sina wa kunifungia ndani!
HahahaHahahaha, asee ndio maana naziogopa hz PM
Hahahaha Mkuu hata km ninayo si kwa style hiyoMkuu we tuma laki hiyo,, hahaha
Hao sawa utawajibu lakini wasiwe wasumbufu wa kila mda kukupm yaan mm ni mvivu kujibu jibuKabisaaa. Sio lazima Dada.
Japokuwa kuna wale wa kuzoweana nao majukwaani saa nyingine waeza shindwa mkalia kimya ujue.