Na kuna kibazazi kingine kinaitwa Mentor ... chenyewe kinakula kimyakimya kama nyau
Tayari Kabazazi kadogo kashafika. Walahi huu Uzi umgelipita bila kukuona kumpa kampani Kaka ako ningeleft humu jumal.
Mkuu upo salama lakini!?
Hahahaha, Mzee wa birthday escape oneAhaha Vice Chairman wa Mabazaz uko? Ww ndo bingwa wa Keki
Hahaha Mkuu sio mm wazee wenzio haoHivi mnajua watu wakisoma hapa watawaamini?
Mimi na ubazazi wapi na wapi???? Mnitake radhi wewe na mtu chake
Kijana enzi zake mwaka mmoja anafanyiwa BD 3 na madem tofauti... Mungu anamuona huyu Mentor Senior Bazaz.. Pamoja na Mwenyekiti wake Nicas Mtei na Mtunza Fedha Kaka Kiiza.. Katibu Mkuu Babu Aspro na Afsa Habari Jiwe Linaloishi huku Katibu Msaidizi Steve..Hahahaha, Mzee wa birthday escape one
Manina zako Ben, usiniunganishe kwenye dhambi zenu. Falasi sana na UZI wako huu.Kijana enzi zake mwaka mmoja anafanyiwa BD 3 na madem tofauti... Mungu anamuona huyu Mentor Senior Bazaz.. Pamoja na Mwenyekiti wake Nicas Mtei na Mtunza Fedha Kaka Kiiza.. Katibu Mkuu Babu Aspro na Afsa Habari Jiwe Linaloishi huku Katibu Msaidizi Steve..
Kuna na Mazaz wao nao wataanza kutajana hapa wakiongozwa na MALAIKA
Ngoja aje Dada yule alotaka kukupiga chupa...Manina zako Ben, usiniunganishe kwenye dhambi zenu. Falasi sana na UZI wako huu.
Hahahahaaa.. Babu akitoa tu go ahead ukaguzi unafanyika Leo leo
Unasema???
Mkaguzi wewe? Nina salaam zako toka KigamboniNasema hiviiii...MIMI SI BAZAZI usiogope kuja kwa ukaguzi.
Nakala:
Asprin, mtu chake, Ben Mugashe, steven masatu et al...
Mungu wanguu weeeeeeeee.Hahahahaaa.. Babu akitoa tu go ahead ukaguzi unafanyika Leo leo
Alikana kabisaa kwamba hausiki. Kajamaaa Ni kataaalam kabesidei, kwa mwaka kanafanyiwa zaidi ya Mara 3 na wadudu tofautitofauti.Mkaguzi wewe? Nina salaam zako toka Kigamboni
Hata ww si ulilala getini na kaka yako Kiiza mnalinda!! Mnabahati mngezama kivukoni manaa saa9 usk mnavukaAlikana kabisaa kwamba hausiki. Kajamaaa Ni kataaalam kabesidei, kwa mwaka kanafanyiwa zaidi ya Mara 3 na wadudu tofautitofauti.