Miaka 10 sasa jukwaani

Miaka 10 sasa jukwaani

Hahahaha, Mzee wa birthday escape one
Kijana enzi zake mwaka mmoja anafanyiwa BD 3 na madem tofauti... Mungu anamuona huyu Mentor Senior Bazaz.. Pamoja na Mwenyekiti wake Nicas Mtei na Mtunza Fedha Kaka Kiiza.. Katibu Mkuu Babu Aspro na Afsa Habari Jiwe Linaloishi huku Katibu Msaidizi Steve..
Kuna na Mazaz wao nao wataanza kutajana hapa wakiongozwa na MALAIKA
 
Manina zako Ben, usiniunganishe kwenye dhambi zenu. Falasi sana na UZI wako huu.
 
Hahahahaaa.. Babu akitoa tu go ahead ukaguzi unafanyika Leo leo
Mungu wanguu weeeeeeeee.
Hivi unawajua hao jamaa vizuri.
Babu @Aspirin mwenyewe aliita kideti kikaja kimevaaa kandambili, alivyo falasi badala akampokeee Bebe yake yeye si akaingia chini ya meza na simu akazima. Manina walahi mtoto alikuwa kalowa vumbi miguuuni balaaa. Halafu wewe ndo unaomba wakakukague? Tena leoleo!?
Walaaaaahii hako Kabazazi kadogo ka@mentor hakafai kabisaa.
 
Back
Top Bottom