Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Hongera kwa kujitambua mapema kijana. Wengi tumepitia aina hiyo ya maisha na starehe na mademu ndio chanzo kikuu cha kutuangusha. Mungu ni mwema
Ni mwema siku zote boss
 
We learn from mistakes...Uzuri bado umri unaruhusu sana.
 
Aiseee pole sana kwa kumbukizi,kupata fedha katika umri mdogo nayo ni changamoto,hata mie kuna mwanafunzi wangu alipata kazi mapema sana baada ya kumaliza 6,alichokifanya akapanga ghetto safi akanunua kila kitu cha ndani akavuta demu shombeshombe,akaanza mishe mishe za kazi kibao,akachukua mkopo 10m akanunua kiwanja kwa 1m,alikuwa anakula bata la kufa mtu ila alikuja kubugi baada ya kufanya fekeche la hatari akafukuzwa kazi maana shombeshombe alikuwa anataka bata so inabidi apige madili kibao kazini ndio akapiga moja likamtoa kazi.

Kiwanja kashakiuza anaisha maisha ya kawaida sana siku hizi.
 
Duuuh Sasa huyu aliingia mingo za kihatari
Daaah pole yake aisee, vipi shombeshombe bado anae au alishatimka baada ya jamaa kufulia
 
Duuuh Sasa huyu aliingia mingo za kihatari
Daaah pole yake aisee, vipi shombeshombe bado anae au alishatimka baada ya jamaa kufulia
ShombeShombe kashasepa zamani tu ikabidi achukue mlokole ndio yupo naye na ana watoto wawili now.
 
Mkuu inabidi tufahamu hili, ili tuweze kujua uvumilivu wa Hawa viumbe tunapopitia magumu.

Au unasemaje mkuu?
Ushaambiwa shombe shombe alikuwa ni yeye na bata, what do you expect?
 
Naendelea kufatilia shuhuda hapa, vijana naona mna tatizo kubwa sana la nidhamu ya matumizi ya pesa.


Nimempa kazi mwanagu afatilie hili andiko
 
Dah
 
Duuuh Sasa huyu aliingia mingo za kihatari
Daaah pole yake aisee, vipi shombeshombe bado anae au alishatimka baada ya jamaa kufulia
[emoji23][emoji23]sa shombeshombe atabaki vipi wakati bwawa limekauka
 

Usiangalie ulipojikwaa, songa mbele.... kuteleza sio kuanguka.
 
Aisee , ulipata mkopo mkubwa sana. Mi ningeupata huo au hata nikiupata sasa hivi God willingly nitapiga hatua kubwa sana.
Anyway, asante kwa kushea mkuu ila umenifundisha mambo mengi sana. Kujitambua ni mzigo sana kwetu sisi vijana. Tukizipata lazima totoz tuzifagie kweli kweli. Ila wakati mwingine tunalipiza tu kutokana na machungu tunayopitia wanavyotutosa tukiwa majalala tunaumia sana. Sikulaumu kaka. It was more than a foolish age lakini hukuwa na jinsi. Uliwafagia sawa sawa kwa sababu ya hasira uliyokuwa nayo. Naamini kwa sasa umeshaiacha hiyo tabia. Like you said, ulikuwa ni ujana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…