Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Shukuru mkuu una bahati sana umepata na mwanamke muelewa. Hilo pia ni moja ya fanikio lako.
na huyu mwanamke cha kushangaza sikuwahi kumpenda hapo mwanzo, na wala hakuwa kwenye mipango yangu ya maisha nilikuwa kama napiga tu kwa kipindi hicho, moyo wangu ulikuwa umetekwa na wasichana wengine kabisa.

mara paap mambo yakawa vice versa ana mimba ikabidi nivute tu ndani, NOW ndio nafahamu huyu ndiye mungu alipanga awe mke wangu. Kama mwanaume bado naenda mechi za nje but namuheshimu sana
 
Daaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu.

Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu. Nafikiri ni stage tuu ambayo wengi tunapitia ila kusanuka ndo inakuwa mtihani mzito yani usanuke uachane na hivi vitu inakuwa too late, kwahiyo nlichojifunza kuweza kuji control uache hizi mambo au mbadala uwe smart sana kuwa na baishara zinazokupa hela ya kufanya starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa....
nilivoishi nae nimefahamu KWELI MKE BORA ANATOKA KWA MUNGU, mawazo yake yamebadili KABISA maisha yetu
Amen.
 
Daaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu
Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu
mkuu kusanuka kwenye huo mtego ni kugumu sana, hata mimi sio kwamba nimeacha ila nimepunguza sana yaani kimada hawezi kunipelekesha kwa sasa ila kuacha mzee ni vigumu sana Papuchi kwa mwanaume aliyekamilika lazma ale mkuu πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wewe hukufanya makosa bali umejifunza tu,ujinga kama huo ufanye ukiwa umevuka 35yrs. Sema nini umeanzisha familia ukiwa na umri mdogo sana faida yake akili inakomaa mapema sana,hasara yake unabeba majukumu mapema hivyo kukuongezea ugumu katika kufanya mambo makubwa hasa ukitaka kufanya biashara alafu umetoka familia masikini.
 
kabisa mkuu lakini hamna namna lazima tupambane
 
Kila kitu huja na makusudi yake kiongozi yaani mie nina umri kama wako mwaka wa tano kazini, hakuna jipya.
Nimekaa nimetafakari leo nikajiona msengerema sana, nimeamua kubadilika naacha anasa.
pole sana ndugu, lakini ujue papuchi ni kama wanaokula unga kuiacha ni ngumu mno πŸ˜€ πŸ˜€
 
Chemsha bongo kabla haujavagaa ukaduwaa chemsha kabla hujavagaa ukashangaa.

Don't let your past ruin your future.

Never cheat Ur future with Ur past.

Move on
 
Kila kitu huja na makusudi yake kiongozi yaani mie nina umri kama wako mwaka wa tano kazini, hakuna jipya.
Nimekaa nimetafakari leo nikajiona msengerema sana, nimeamua kubadilika naacha anasa.
mkuu nimecheka sana wallah [emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa ubaya ila umenifurahisha tu nikajikuta nacheka mwenyewe ,

maisha yana mengi sana na kila mtu ana wakati wake wa kufanikiwa

binafsi nishawai kuchekwa kisa nilichelewa kujenga nikaonekana sina akili ,

ila wakati ulipofika nilinunua kiwanja na kujenga nyumba ya maana kwa hasira ,

kwahiyo bado hujachelewa ,ni kuomba mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…