Miaka 100 ijayo tulio hai leo tutakua tumefariki

Miaka 100 ijayo tulio hai leo tutakua tumefariki

Miaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.

Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
Kuna dogo ana siku mbili tangu azaliwe, ana chance ya kusurvive mpk miaka 100 na zaid.
 
Miaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.

Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
HATA jf haitakuwepo
 
Thread za namna hii mara nyingi huanzishwa na watu ambao kwa namna moja ama nyingine wanapiyia wakati mgumu sana Depression or Stress nakushauri tafuta mtu au angalia namna ya kuwaza kifo.
Kifo kipo tu
Nakumbuka warumi alikuwa member active sana humu kumbe muda huo alikuwa anaumwa sana hadi umati unamkumbuka akiwa hospital

Leo upo ujue kesho utaamkaje
Uwazi
 
Kabla ya kuwa Mbongo ulishawahi kuwa raia wa USA sema hukumbuki tu na hakuna kurudia uraia.

Ukirudi utakuwa raia wa Iran au Afghanistan.
Niwe kobaz wa Iran, USA aje atupelekee moto nife, nirudi kama raia wa Mexico niwe drugs dealer 😂
 
Kwanini nipokonye uhai wa mtu ingali na mimi nitaenda kwenye ameenda.

Sihitaji kuandikwa kwenye historia mkuu,nahitaji kuandikwa kwenye mioyo ya watu mpaka nao watakapo kufa.
Naona wewe ndo wa Kwanza kuanzisha kituo cha watoto yatima Tanzania hii .
 
Mkuu, Wewe ni sadist nakushauri tafuta Phycologist aanze kukufanyia counseling,
Luckily taifa leti Gun control Iko juu sana Yani hakuna silaha holela mtaani

Ila ungekuwa Majuu uko kama US ambazo guns zinauzwa kama njugu tayari ungebeba mtutu nakuenda Kufanya Mass shooting
 
Back
Top Bottom