Kabla ya kuwa Mbongo ulishawahi kuwa raia wa USA sema hukumbuki tu na hakuna kurudia uraia.C tulikubaliana tukifa tunarudi Duniani kwa nafsi mpya bila kumbukumbu zozote, mm nilirudi Naomba nirudi kama raia wa USA
Kuna dogo ana siku mbili tangu azaliwe, ana chance ya kusurvive mpk miaka 100 na zaid.Miaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.
Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
HATA jf haitakuwepoMiaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.
Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
UwaziThread za namna hii mara nyingi huanzishwa na watu ambao kwa namna moja ama nyingine wanapiyia wakati mgumu sana Depression or Stress nakushauri tafuta mtu au angalia namna ya kuwaza kifo.
Kifo kipo tu
Nakumbuka warumi alikuwa member active sana humu kumbe muda huo alikuwa anaumwa sana hadi umati unamkumbuka akiwa hospital
Leo upo ujue kesho utaamkaje
Niwe kobaz wa Iran, USA aje atupelekee moto nife, nirudi kama raia wa Mexico niwe drugs dealer 😂Kabla ya kuwa Mbongo ulishawahi kuwa raia wa USA sema hukumbuki tu na hakuna kurudia uraia.
Ukirudi utakuwa raia wa Iran au Afghanistan.
Welcome to realityMiaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.
Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
Umejuaje Ana hiyo chance?Kuna dogo ana siku mbili tangu azaliwe, ana chance ya kusurvive mpk miaka 100 na zaid.
Naona wewe ndo wa Kwanza kuanzisha kituo cha watoto yatima Tanzania hii .Kwanini nipokonye uhai wa mtu ingali na mimi nitaenda kwenye ameenda.
Sihitaji kuandikwa kwenye historia mkuu,nahitaji kuandikwa kwenye mioyo ya watu mpaka nao watakapo kufa.
kama tutazaliwa upya tena hapa dunian, cha kushangaza ukalelewe kituo ulichokijenga mwenyew kwenye maisha yaliyopita.Siogopi kufa,natambua nitake nisitake ni lazima nitakufa.
Ila natamani niache kitu ambacho jina langu litajwa kupitia hicho.
(Kituo cha kulea watoto yatima)