Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Mungu wa ajabu wew, cha kushangaza wapo watafka. kuna mbib kafariki mwez uliopita alikua kafikisha miaka 115 na alikuaga anatembea sema miguu tu ndo ilivimba. Na kushindwa kutembeaHakika. Wenye miaka 30 kwenda juu hatufiki 2126
ππMe mpaka tanzania tutakaposhirik kombe la dunia mwaka 2102 ndo ntakufa
immortality tupo hapaMiaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.
Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
ππ¨Kwani shida iko wapi? Waliokuwepo miaka 100 iliyopita kwani bado wapo?
Ifike muda lazima ujue maisha ya hii dunia ni ubatili mtupu!
Dah πkama tutazaliwa upya tena hapa dunian, cha kushangaza ukalelewe kituo ulichokijenga mwenyew kwenye maisha yaliyopita.
Utakuwa umejisaidia na kusaidia
ngoja nilale tena niendelee kuota hii ndoto tamuWakati huo super power wa Dunia atakuwa ni Tanzania inatoa misaada Kwa USA kama ARVs na Vyandarua
nalazma iwe hvo, maisha yajayo mazuri au mabaya tunayaanda kweny maisha haya ya leo