Kwani ubepari ni dini?Mbona Imani ya Ubepari inatutawala na hulalamiki
Kwahiyo hiyo aya inaonesha Mungu anakubali utumwa!? Mbona aya haizungumzii utumwa kbs.Hujajibu hoja. Unahubiri.
Imekuwaje Allah Mungu mwenye upendo wote na uwezo wote akaruhusu na kubariki utumwa?
Ni dini ndiyo. Wewe ulidhani ni kitu gani yaani!?Kwani ubepari ni dini?
Wewe una aya kibao za kuondoa contradiction kwanza kabla hujarukia huku, usijisahaulishe hapa.Kwahiyo hiyo aya inaonesha Mungu anakubali utumwa!? Mbona aya haizungumzii utumwa kbs.
Si mada yetu kwa leo, jifunze adabu ya mjadala. Adabu kubwa ni kuwa ndani ya mada husika, siku tukizungumzia contradictions ktk vitabu vya dini zingine tutagusia na madai yako kwa vile Quran haina contradiction isipokuwa watu wasiojua Uislamu wala lugha ya kiarabu ndiyo huchanganyaWewe una aya kibao za kuondoa contradiction kwanza kabla hujarukia huku, usijisahaulishe hapa.
Ondoa contradictions katika Quran kwenye aya nilizokuletea hapa.
Kama si mada yetu ya leo, kwa nini uliniomba nizilete hizo contradictions hapa?Si mada yetu kwa leo, jifunze adabu ya mjadala. Adabu kubwa ni kuwa ndani ya mada husika, siku tukizungumzia contradictions ktk vitabu vya dini zingine tutagusia na madai yako kwa vile Quran haina contradiction isipokuwa watu wasiojua Uislamu wala lugha ya kiarabu ndiyo huchanganya
Waislamu hatuendeshwi na hisia pole, unakusudia kututoa ktk madaKama si mada yetu ya leo, kwa nini uliniomba nizilete hizo contradictions hapa?
Wewe kuomba mimi nizilete contradictions hapa inaonesha kwamba, ulifikiri zitakuwa contradictions chache na rahisi kuzijibu.
Nimekuletea, umeziona ni nyingi na huwezi kuzijibu, unarukaruka kukimbia kuzijibu.
Wewe Muislamu?
Muislamu anaogopa challenge?
Unaji contradict hata kwenye kujibu contradictions.
Kubali tu huna majibu ya maswali.
Kwa sababu Uislamu ni uongo uliotungwa na watu tu, una contradictions nyingi sana.
Na kama Uislamu ni uongo uliotungwa na watu tu, una contradictions nyingi sana, hayo mambo mengine ya Uislamu kutawala dunia ni muendelezo wa uongo huo huo.
Ni siasa za kijinga zilizopitwa na wakati.
Bila kujibu hizo contradictions, hujaweza kupinga hoja kwamba Uislamu ni mfumo uliojengwa kwenye uongo mwingi sana na hivyo haufai kutawala dunia.
Nimekuwekea hoja, zenye mantiki na ushahidi wa aya, kuonesha kwamba Uislamu ni uongo unaojipinga, hujaweza kujibu hoja.Waislamu hatuendeshwi na hisia pole, unakusudia kututoa ktk mada
Usitutoe nje ya mada Kama huwezi kuchangia ndani ya mada ni tatizo lakoNimekuwekea hoja, zenye mantiki na ushahidi wa aya, kuonesha kwamba Uislamu ni uongo unaojipinga, hujaweza kujibu hoja.
Unasemaje naongozwa na hisia wakati nimekuzidi hoja kimantiki na huwezi kuzujibu?
Unakataa hoja zangu na kusema Quran haina contradiction?
Inaonekana wewe unajinasibu Uislamu, wakati Uislamu huujui na huwezi kuutetea.
Mada ni nini?Usitutoe nje ya mada Kama huwezi kuchangia ndani ya mada ni tatizo lako
Mkishakunywa gahawa na elimu zenu finyu ndio mnavyodanganyana? Utatawalaje dunia ilhali huna elimu yoyote? Yan unadhani kutawala dunia Ni sawa na kufuga madevu?Khilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
Mkishakunywa gahawa na elimu zenu finyu ndio mnavyodanganyana? Utatawalaje dunia ilhali huna elimu yoyote? Yan unadhani kutawala dunia Ni sawa na kufuga madevu?
Tatizo Lenu mnapingana mno hata hiyo khalifah sijui mkiipata mtaiendeshaje Mara Sunni hampend kabisa Shia,Mara answar sunnaAyatollah anatawala kwa Ubepari na si uislamu.
Si ni wewe mwenyewe uliomba aweke hizo contradiction? Sasa kaziweka unaruka ruka,tatizo Lenu hamna elimuWaislamu hatuendeshwi na hisia pole, unakusudia kututoa ktk mada
Jibu hoja wacha kuruka rukaUsitutoe nje ya mada Kama huwezi kuchangia ndani ya mada ni tatizo lako
Kwani waarabu wa Buguruni kwa Mnyamani wanasemaje? Tandale itawakuta zaid black arabssubiri jews wa Tandale waje
Hahaha enzi za sasa sio za faraó,huwez tawala dunia ya wasomi ilhali wewe Ni kilaza unaejua kufuga to ndevu, mtaendelea kusubiri meli airportFalao alikuwa na mawazo kama yako kilichotokea akuamini hadi Leo dunia inamsoma, time will tell
Hahaha enzi za sasa sio za faraó,huwez tawala dunia ya wasomi ilhali wewe Ni kilaza unaejua kufuga to ndevu, mtaendelea kusubiri meli airport
Mnadanganywa bure na hao viongoz wenu waloishia STD 4Subiri mkuu muda utasema tu