Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Marco Di Vaio...
Huyu ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kuzifumania nyavu kwa kutumia Kichwa na Miguu. Alipata pia kukitwanga Bianconeri ama Juve...
Alberto Gilardino
Kama ilivyo kwa Di Vaio, huyu jamaa nae anauwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu.
Alipata kukiputa pia AC Milan.
Dino Baggio...
Ngoma ngumu hii.
siku akipewa kazi ya kukinukisha pale kati utamtaka.
Hernan Crespo...
alipitia Parma kabla ya kuzunguka na kutua katika ile klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni yaani AC Milan.
Gianfranco Zola...
Uso wa kazi, nae pia alipita Parma kabla ya ziara yake katika vilabu vingine ulimwenguni.
Antonio Benarivo...
jembe, nguli, ngoma ngumu, ilikuwa kama ukimuacha uwani basi unakuwa huna wasiwasi.
Alikuwa na uwezo pia wa kupanda na kuteremka faster.
Enrico Chiesa...
jamaa alikuwa anaujuwa sana...
Yeye alilipenda goli na goli lilimpenda.
Ni mfungaji mzuri hakika kupata kutokea pale Italy.
Ortega...
hakuwahi kuwaogopa mabeki, yeye alikuwa anawafuata kisha anawakusanya kwa chenga za mauzi.
Kana balaaa haka kamtu dah...
Juan Sebastian Veron...
moja kati ya jiko boora ninalolikubali katika Soka.
Kichwani ana kipara, usoni ana O, sikioni ana puli la Silver.
Anapiga pasi bagamoyo kisha anaiwahi na kwenda kuichukua, kisha anageuka upande mwingine na kuitupia mkuranga, kisha anaifuata na kuichukua tena na kuipeleka Mdaula, halafu anaifuata na kuimwaga Kariakoo Mtaa wa Kongo ili igombewe...
Dah Veron weeh...
Mjomba Faustino Asprilla...
Anaifuata katikati ya uwanja kisha anakuja kutupia golini kwenu, baada ya hapo utamkuta kwenye kibendera anabinuka sarakasi tu...
Ni balaa lilikuwa hakika.
Lilian Thulam...
Alipata pia kuichezea Juve.
Ni miongoni mwa walioisaliti Juve.
Fabio Canavaro...
Nae pia alivuma na Juve ile iliokumbwa na kashfa.
Ni msaliti, alikataa kushuka daraja na timu na hatimae akakimbilia Mshahara Madrid...
Gianluigi Gigi Buffon...
Ni shujaa wangu kwa makipa.
ninamuheshimu na kumkubali kama kipa boora kupata kutokea.
Alikubali kushuka daraja na timu na akasaidia kuipandisha.
dah nitarudi kwa ajili ya kuendelea kumtukuza nyanda huyu...
CC: Belo , Mourinho, Juve2012, bologna, ndetichia, myao wa tunduru, companero, viper, balantanda