Miaka 100 ya Parma...hawa ndio nyota waliopita Klabuni hapo...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,649
Reaction score
4,786
Marco Di Vaio...
Huyu ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kuzifumania nyavu kwa kutumia Kichwa na Miguu. Alipata pia kukitwanga Bianconeri ama Juve...

Alberto Gilardino
Kama ilivyo kwa Di Vaio, huyu jamaa nae anauwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu.
Alipata kukiputa pia AC Milan.

Dino Baggio...
Ngoma ngumu hii.
siku akipewa kazi ya kukinukisha pale kati utamtaka.

Hernan Crespo...
alipitia Parma kabla ya kuzunguka na kutua katika ile klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni yaani AC Milan.

Gianfranco Zola...
Uso wa kazi, nae pia alipita Parma kabla ya ziara yake katika vilabu vingine ulimwenguni.

Antonio Benarivo...
jembe, nguli, ngoma ngumu, ilikuwa kama ukimuacha uwani basi unakuwa huna wasiwasi.
Alikuwa na uwezo pia wa kupanda na kuteremka faster.

Enrico Chiesa...
jamaa alikuwa anaujuwa sana...
Yeye alilipenda goli na goli lilimpenda.
Ni mfungaji mzuri hakika kupata kutokea pale Italy.

Ortega...
hakuwahi kuwaogopa mabeki, yeye alikuwa anawafuata kisha anawakusanya kwa chenga za mauzi.
Kana balaaa haka kamtu dah...

Juan Sebastian Veron...
moja kati ya jiko boora ninalolikubali katika Soka.
Kichwani ana kipara, usoni ana O, sikioni ana puli la Silver.
Anapiga pasi bagamoyo kisha anaiwahi na kwenda kuichukua, kisha anageuka upande mwingine na kuitupia mkuranga, kisha anaifuata na kuichukua tena na kuipeleka Mdaula, halafu anaifuata na kuimwaga Kariakoo Mtaa wa Kongo ili igombewe...
Dah Veron weeh...

Mjomba Faustino Asprilla...
Anaifuata katikati ya uwanja kisha anakuja kutupia golini kwenu, baada ya hapo utamkuta kwenye kibendera anabinuka sarakasi tu...
Ni balaa lilikuwa hakika.

Lilian Thulam...
Alipata pia kuichezea Juve.
Ni miongoni mwa walioisaliti Juve.

Fabio Canavaro...
Nae pia alivuma na Juve ile iliokumbwa na kashfa.
Ni msaliti, alikataa kushuka daraja na timu na hatimae akakimbilia Mshahara Madrid...

Gianluigi Gigi Buffon...
Ni shujaa wangu kwa makipa.
ninamuheshimu na kumkubali kama kipa boora kupata kutokea.
Alikubali kushuka daraja na timu na akasaidia kuipandisha.
dah nitarudi kwa ajili ya kuendelea kumtukuza nyanda huyu...

CC: Belo , Mourinho, Juve2012, bologna, ndetichia, myao wa tunduru, companero, viper, balantanda
 
jamaa lazima apewe benchi la ufundi bianconeri yaani ni die hard pale juve huyu si mwingine ni mjomba buffon
 
Kwa taarifa yako na udokezi mwingine,hii Parma ndio ilikuwa ya mwisho kumfunga AC Milan ktk serie A msimu 1990-91 huku Milan ikienda unbeaten 58 games,na ndio ikatoa bikira kwa Milan tena ktk msimu 1992-93 Milan kocha akiwa Fabio Capelo huku Marco Van Basten akiwa mfungaji bora 1991-92 ktk serie A mabao 25
 
Yametokea wapi tena hayo?
hoja ni wachezaji wa Parma waliopata kutikisa ulimwengu.
Zungumzia basi na fainali ya champions league ya mwaka 94
 
Naona Unanikumbushia enzi za Sirie A na mpira wa ITV ligi ya Italy ilikuwa juu sana yote ya yote Juventus ndio naipenda sababu mie ma Hero wangu kimpira walikuwa sana makipa na striker sababu utotoni ndio nilikuwa nikipenda kucheza hizo nafasi, sababu Italy ni Juve so 1. Roberto Baggio 2.Robbie Fowler na Dwight Yorke(Aston Villa) na Makipa Van der ser(Juventus) na David James(LFC) nyumbani Mohammed Mwameja(Simba) naongelea wakati wangu wAakili za kupenda mpira ila wakati natizama VHS nafikiri wajomba zangu walikuwa wakitizama sana AC Milan sana na maposter ya Rudy Gullit ukutani na International kama kawaida Ujerumani na Argentina 80-90 mie wa 90's kuanza kufuatilia mpira kwa akili ya kujua number 1 mpaka 11. Hapo 88 nilikuwa nawasikia kuwajua ambao maarufu tu kina Klinsman kina Rossi na kumbukumbu ya Jezi za Ujerumani na Holland na Argentina ndio mitaani timu za Tanzania zikivaa.
 
Yametokea wapi tena hayo?
hoja ni wachezaji wa Parma waliopata kutikisa ulimwengu.
Zungumzia basi na fainali ya champions league ya mwaka 94
Na mdogo wangu ulikuwa humwambii kitu na Parma 94-95 hasa walivyobeba Uefa(Europa) timu ilikuwa nzuri ila ufisadi unauwa timu nyingi Italy.
 
Marco Di Vaio...
Huyu ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kuzifumania nyavu kwa kutumia Kichwa na Miguu. Alipata pia kukitwanga Bianconeri ama Juve...

Alberto Gilardino
Kama ilivyo kwa Di Vaio, huyu jamaa nae anauwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu.
Alipata kukiputa pia AC Milan.

Dino Baggio...
Ngoma ngumu hii.
siku akipewa kazi ya kukinukisha pale kati utamtaka.

Hernan Crespo...
alipitia Parma kabla ya kuzunguka na kutua katika ile klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni yaani AC Milan.

Gianfranco Zola...
Uso wa kazi, nae pia alipita Parma kabla ya ziara yake katika vilabu vingine ulimwenguni.

Antonio Benarivo...
jembe, nguli, ngoma ngumu, ilikuwa kama ukimuacha uwani basi unakuwa huna wasiwasi.
Alikuwa na uwezo pia wa kupanda na kuteremka faster.

Enrico Chiesa...
jamaa alikuwa anaujuwa sana...
Yeye alilipenda goli na goli lilimpenda.
Ni mfungaji mzuri hakika kupata kutokea pale Italy.

Ortega...
hakuwahi kuwaogopa mabeki, yeye alikuwa anawafuata kisha anawakusanya kwa chenga za mauzi.
Kana balaaa haka kamtu dah...

Juan Sebastian Veron...
moja kati ya jiko boora ninalolikubali katika Soka.
Kichwani ana kipara, usoni ana O, sikioni ana puli la Silver.
Anapiga pasi bagamoyo kisha anaiwahi na kwenda kuichukua, kisha anageuka upande mwingine na kuitupia mkuranga, kisha anaifuata na kuichukua tena na kuipeleka Mdaula, halafu anaifuata na kuimwaga Kariakoo Mtaa wa Kongo ili igombewe...
Dah Veron weeh...

Mjomba Faustino Asprilla...
Anaifuata katikati ya uwanja kisha anakuja kutupia golini kwenu, baada ya hapo utamkuta kwenye kibendera anabinuka sarakasi tu...
Ni balaa lilikuwa hakika.

Lilian Thulam...
Alipata pia kuichezea Juve.
Ni miongoni mwa walioisaliti Juve.

Fabio Canavaro...
Nae pia alivuma na Juve ile iliokumbwa na kashfa.
Ni msaliti, alikataa kushuka daraja na timu na hatimae akakimbilia Mshahara Madrid...

Gianluigi Gigi Buffon...
Ni shujaa wangu kwa makipa.
ninamuheshimu na kumkubali kama kipa boora kupata kutokea.
Alikubali kushuka daraja na timu na akasaidia kuipandisha.
dah nitarudi kwa ajili ya kuendelea kumtukuza nyanda huyu...

CC: Belo , Mourinho, Juve2012, bologna, ndetichia, myao wa tunduru, companero, viper, balantanda

Nimependa ulivyoongelea Buffon hata mie Shujaa wangu Heshima huyu Kipa mpaka basi na Buffon alisema Hero wake ni aliekuwa Kipa wa Cameroon enzi za Roger Miller ulivyoongelea Veron nimecheka sana. Ila mtu mwengine katamba Parma ni Adriano baadae.
 
Wewe ----- Kweli Umewaandika Wote na Uliponikera tu ni Kumwacha Legend wa Parma na Kipenzi changu FAUSTINO ASPRILLA! Sijaona Mpaka Leo Foward Kama Huyo na Kama Wewe ni Mtu wa Mpira Basi Utakubaliana na Mimi.
 
Kabadilishe pedi ndio uje hapa...
Umekurupuka hujachamba matokeo yake unaruka majina na kuanza kulalama hapa...
 
Tungepunguza maneno makali mkuu, Mie naona jamaa hakuona jina lakipenzi chake Pengine alitegemea jina la Asprilla utamuwekea mwanzo au tutaweka mashaka ya yeye Kuwa kipenzi wa Asprilla vipi hajaona jina lake hapo juu??
 
Ndugu yangu Pazi mie mtu atakavyokuja ndo atakavyorudi.
Tazama post yake ndo utagundua kuwa alianza yeye, na mie nilikuwa nahitimisha tu.
 
Yametokea wapi tena hayo?
hoja ni wachezaji wa Parma waliopata kutikisa ulimwengu.
Zungumzia basi na fainali ya champions league ya mwaka 94
Nilitaka kugusia pia AC Milan,Parma imechukua nafasi kama moja ya waliotibua rekodi ya AC MIlan
 
Ah! Asprilaaa! Ukimuona anatembea utafikiri Masanja Mkandamizaji subiri sasa apate mpira ndo utamjua. Nakumbuka combination yake na Zola ilileta maumivu kwa timu nyingi. Gang Chomba Thuram aliisaliti vipi Juve?
 
Ilikuwa ni baada ya Juve kutakiwa kushuka Daraja, basi yeye na wenzie wakaamua kuiacha Juve na kuhamia vilabu vingine...

Watu kama Buffon, Nedved, Camoranesi, Trezegoo, Del Piero na wengine walisema wao watashuka na Bibi...
 
TrezeZEgoal alikuwa mbaya Huyu mtu wakifaransa ila asili yake ni ya Argentina weusi. Thuram alikuwa mwana Siasa alikuwa na sababu za kutoshuka na Juventus ndomana pia aligoma kwenda Lazio pia kwa sababu za kisiasa za ubaguzi Lazio.
 
Gang Chomba;
Ilikuwa ni baada ya Juve kutakiwa kushuka Daraja, basi yeye na wenzie wakaamua kuiacha Juve na kuhamia vilabu vingine...

Watu kama Buffon, Nedved, Camoranesi, Trezegoo, Del Piero na wengine walisema wao watashuka na Bibi...

Oh yea! The Calciopoli scandal, dah nilishasahau, shukrani kwa kunikumbusha!
 
Aah!wadau acheni maskhara jamani au ni mie nimezeeka sioni maandishi vizuri manake kuna jina nalitafuta humu silioni na siamini kama mmeliacha!@Gang Chomba acha utani bwana yaani unataka kuniambia yule "Beckham" toka mashariki ya mbali kule kwa ndugu zetu wenye vimacho vidogo umemsahau?acha maskhara yako Chomba bwana utani gani huu?
 
hidetoshi nakata?
 
Back
Top Bottom