Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Sasa wewe ndy mfano halisi wa baadhi ya watu kwenye jamii ya kitanzania wenye mawazo mgando! Una low self esteem, ndy maana unakuwa una shida na watu wenye mafanikio, na naamini hii shida yako si kwa bwana Kalito tu, itakuwa ni kwa yyt mwingine.....inajidhihirisha wazi kuwa umekata tamaa ktk maisha yako kwa chuki zisizokuwa na mbele wala nyuma kwasababu tu hupendi maisha yako, hupendi maisha unayoishi, na hauna namna ya kujikwamua toka hapo ulipo, kwahy ili kuipa faraja nafsi yako basi unaamua kumchukia mtu yoyote aliekuzidi iwe kipato, elimu, uzuri etc, trust me sweetheart ur not alone on this, wapo wengi kama wewe na shida kama hii inajulikana. My very good advice to you mkuu... Jenga mazoea ya ku appreciate vitu vizuri bila ya kuangalia upande mbaya, itakusaidia sana ktk maisha yako. La, huwezi, wahi kwa 'councillor' ukapate msaada zaidi.

Mimi sina ushahidi wa kuwa alitumia pesa ya kuuza unga kuanzisha biashara yake, wewe ambae unao ushahidi usio na shaka ndani yake uweke basi ili sheria ifuate mkondo wake na wengine wapate somo.

Kwa upande wangu, hoja yangu si namna gani kapata mtaji wa kuanza kufanya biashara( sababu hainihusu, na naamini hata wewe pia haikuhusu), bali hoja yangu mimi ni namna anavyopambana kuendelea kubaki kwenye soko, mbinu anazotumia, ubunifu, n.k. kitu ambacho kipo wazi kinaonekana.

Kuna msemo wa kingereza unasema:

"Stay away from negative people, they always have problem to every solution "

Adios!
Hahaaa.. We jamaa unaandika makala ndeefu utadhani una point ya msingi.. Unachoandika kumtetea hata wewe huna ushahidi, tulia sio kutujazia hapa
 
jicho anavoziba nilidhani ni fasheni kumbe jamaa alipatwa na cancer ...pole sana kwake
 
Nashukuru sana mkuu, wengi watakuja kukubeza.
 
Yani jamaa kama kweli kauza madawa halafu anaenda kwenye ma TV hivyo kuelezea maisha yake jinsi alivyotoboa, atakuwa mjinga sana.

Mtu aliyetoboa kwa madawa kawaida hataki kujielezea sana maisha yake ametoboa vipi, kwa sababu akifanya hivyo anawapa nafasi wanaojua katoboa kwa madawa kusema habari hizo.

Na huyu jamaa si mjinga kwa hivyo inakuwa vigumu kukubali kafanya kitu bila mkakati.
Hapa wabongo hawawezi kukuelewa mkuu, watu washakaza ubongo kuwa jamaa ni punda.
 
Pamoja na mafanikio aliyopata pia ana moyo kusaidia jamii, nimejaribu kuingia yuotube kusaka yale mazungumzo haliyofanya kupitia dstv 160 kipindi kikiitwa 'maisha yangu'
watu wengine waliowahi kuelezea maisha yao pale Haji Manara, Nancy Sumari, Master J, John Stephen Ahkwari(mwanariadha huyu ambaye haki yake hakupewa) , Dina Marios

ni kweli mtu mwenye makandokando mengi huwezi thubutu kuelezea maisha yako, lkn jamaa naona pamoja na mambo mengine amejitangaza vema hata mimi nimepanga nikija dasalam[emoji23] niende hapo samaki samaki
Karibu sana das'lam mkuu.[emoji1756]
 
Ubabeba box hakuna biashara unayofanya
Mguu wa msafiri huo, ndio maana wengine tumejiondokea kutoka Tanzania na tumekuwa wageni kwingine na wazawa huko tulipo nao wanatusema hivyo hivyo kwamba hawa watu hapa sio kwao lakini wana hustle na ku make it kuliko baadhi ya wazawa.

Ni mguu wa msafiri huo na mimi naukubali sana.
 
Sisi watu masikini tuna shida Sana tukiona mtu kafanikiwa kisingizio chetu ni sembe, Freemason,Jambazi au fisadi kama ni mwanamke kahongwa.
Alafu hao hao weekend utawakuta samaki samaki wanakula mishkaki huku wanapost zao Instagram,saizi jamaa kaja na wavuvi camp ,chimbo lamoto sana 😃
 
Back
Top Bottom