Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Hahaaa.. We jamaa unaandika makala ndeefu utadhani una point ya msingi.. Unachoandika kumtetea hata wewe huna ushahidi, tulia sio kutujazia hapa
 
jicho anavoziba nilidhani ni fasheni kumbe jamaa alipatwa na cancer ...pole sana kwake
 
Nashukuru sana mkuu, wengi watakuja kukubeza.
 
Hapa wabongo hawawezi kukuelewa mkuu, watu washakaza ubongo kuwa jamaa ni punda.
 
Karibu sana das'lam mkuu.[emoji1756]
 
Ubabeba box hakuna biashara unayofanya
 
Sisi watu masikini tuna shida Sana tukiona mtu kafanikiwa kisingizio chetu ni sembe, Freemason,Jambazi au fisadi kama ni mwanamke kahongwa.
Alafu hao hao weekend utawakuta samaki samaki wanakula mishkaki huku wanapost zao Instagram,saizi jamaa kaja na wavuvi camp ,chimbo lamoto sana 😃
 
Jinai haifi, kama aliuza sembe ni lazima asemwe! Na ikibidi achunguzwe na hatua ichukuliwe
'Wanaodai' aliuza/anauza sembe wapeleke ushahidi kwenye vyombo vya dola otherwise ni maneno yao ni upuuzi unaostahili kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…