Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Mission town huyu,aliutumia uzembe wa serikali zilizopita akatusua. Kama unavyojua wabongo wakiona mzungu.
Acha hizo wewe, calito alikuwa anakaa ngorongoro, alikuwa anauzia wamasai sembe?? Alipokuja bongo alikuwa ngorongoro, na kule ndo alipata passion ya kufungua hiyo migahawa, huyo anaujua UTALII wa bongo haswa, na hizo migahawa zake kaziweka kiculture kama porini, na mtaji katoa kwao
 
Mtu safi sanaa huyu jamaa.
Sana kuna rafiki yangu mmja dem mmja hapa mjini anamiliki coffee shop...nlimjua jamaa kupitia yeye
Na kabla ya hapo alipo jamaa alikuwa bar man hapo chui Bay
Kweli jamaa anaupendo sana mpaka kwa wafanyakazi wake
Unajua hata samaki samaki inaanza si unakumbuka yeye alikuwa anakomaa mwenye pale hadi kwenye kupika
Enzi hizo Ana pajero gari
Jamaa kilichomtoa ni uaminifu tu na netwrk alijuwa itumia,kufanya kazi kwa bidii
Hayo mambo ya smbe blhblh tu

Ova
 
I stand with you chief.
 
Ukishasema wewe, anaefuatia yoyote simuamini 😁✊✊
 
I stand with you chief.
He's a loving person
Habaguwi marafiki
Kuna mtanzania mmoja alikuwa Spain
Yeye ndiyo alimuinspire aje tanzania
Huyo jamaa anaitwa smbdy Khalifa na mpaka leo anamrespect jamaa
Pale samakisamaki kuna wakati mfanyakazi mmja wa kike alifariki
Jamaa aliumia sana na mpaka leo
Aliweka picha yake iko pale samaki
Inshort anawathamini sana employers
Wake sana
Haya mambo sijui sembe na mengine ni kuzusha tu
Jamaa alianza mbali sana sema labda watu wamemjua hivi karibuni ila kama kidogo mtu ulikuwa unazunguka zamani utakuwa ulimgumia
Unajua wenzetu wanajua sana kukamatia fursa na wakiona fursa wana watu wao wakiwagusa wanawasaidia
Mfano mwingine yule Nicola alikuwa anamiliki sleepway,alikuja choka tu tanzania tena alikuja kama fundi ila aliona nafasi huku akatumia
Wenzetu wanainuana sana

Ova
 
Ndugu mrangi njoo Mkuranga huku tununune korosho kaka.
 
You said it brother,
 
Nakazia !
 
Napenda majina ya vyakula vyake!! Butiama mix, chizi iringa, lindi flavour!!

Very creative
..na kuna nyama ya kuku pale inaitwa "kiuno cha Ray-C". Huyu mzungu mhuni sana siku anazindua hicho chakula alimwita Mwisho mwampamba kuwa mtu wa kwanza kula hicho chakula (kuku) kisa tu ni kuwa mwisho anakijua kiuno cha ray C vizuri kwa sababu alikuwa demu wake enzi hizo....
 
Ni pirate maana naona ana kipago jicho moja??
 
Jamaa kaumwa jicho likatolewa, akaunganishia style ya U Pirate humohumo.

Hapo ndipo utajua maana ya "When you are given lemons, make lemonade.".

Don't cry for oranges.
No excuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…