Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na mabadiliko na maendeleo ya sayansi na teknolojia tubadilishe pia sera zetu kwa vitu vya maendeleo
Miaka ya leo miaka kumi na nane ni mzee, mtu ana kua kijana toka miaka 16 wenzetu china miaka kumi na sita anatengeneza saa, sahani za udongo wanaendesha mitambo mikubwa na adi kufika miaka kumi na nane ana maisha yake mazuri na anajitegemea kutokana kaandaliwa mapema. sisi bado tuna muona mtoto.
Kwa baadhi ya vitu vitakavyo changia kuleta maendeleo kwa mfano kumi liki account benk, kumili au kufungua kampuni, kumiliki leseni ya gari, kuajiriwa umri uanzie miaka 16
Tuna jidumaza na kuchelewa kufanikiwa kutokana na mifumo na mtazamo wa maisha international ammendement of child act wana tambua mtoto miaka kumi na nane na wana taka sisi wana chama wa umoja uo tufate ila wao mtoto wao miaka 17 ana maisha yake kasha jipata ana ujuzi mzuri sisi tuna karirishwa adi miaka 18
Let wake up guyz.